Waraka wa Wizara ya Nishati

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
231
413
Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa.

Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona Wizara yao imeangukia pua nchi nzima?

Kweli hii changamoto ipo au imetengenezwa? Hivi hamjiskii aibu kusema mbele ya taifa hamjui lini hii changamoto mtaitatua?

Sipendi kuikejeli na kuilaumu serikali kwa ujumla, ila kwa hili ni dhahiri nyinyi viongozi sio waadilifu. Sisi sio wajinga kiasi cha kutounganisha picha kujua kinachoendelea.

Ni mwaka watu sasa Rufiji hcl ipo asilimia90. Sisi ndio power house wa gesi asilia East and Central africa, lastly kwa sasa ndio tunaumalizia msimu wa mvua.

Kwaivyo, gesi ipo, maji yanayohitajika kuzalisha umeme yapo baada ya mvua nyingi za mafuriko n nchi nzima ni shahidi, ila umeme wa uhakika hamna.

Kama umeme wa uhakika ulikuwepo hapo awali, vyanzo vya sasa ndio vinazidi kuboreshwa n vingine kuongezeka, basi viongozi waliopo kwenye wizara ndio shidaaah. Mbadilike pia.

Mnalipwa pesa nyingi ila matokeo ya kazi zenu ni below average, shame on you. You're an enthusiastic n effortful disappointment to the whole of leadership community. Mjiiuzulu basi au mbadilike.

Inaniuma kufikiria kuwa kauli uliyoitoa inamaanisha hata mwezi wa6 utapofika, uwepo wa umeme wa uhakika ni 50%. Kama wewe mwenye wizara hujui, sisi unatuweka katika hali gani??
 
Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia n maneno makali sana, ni dhahiri hii imekua changamoto sugu sasa.

Hivi wanaosimamia hii wizara ya nishati,
wanahisi nini wanapoona wizara yao imeangukia pua nchi nzima?? Kweli hii changamoto ipo au imetengenezwa?? Hivi hamjiskii aibu kusema mbele ya taifa hamjui lini hii changamoto mtaitatua??
.
Sipendi kuikejeli na kuilaumu serikali kwa ujumla, ila kwa hili ni dhahiri nyinyi viongozi sio waadilifu. Sisi sio wajinga kiasi cha kutounganisha picha kujua kinachoendelea

.Ni mwaka wapili sasa rufiji hydropower ipo asilimia90. Sisi ndio power house wa gesi asilia East n Central Africa, lastly kwa sasa ndio tunaumalizia msimu wa mvua. Kwaivyo, gesi ipo, maji yanayohitajika kuzalisha umeme yapo baada ya mvua nyingi za mafuriko n nchi nzima ni shahidi, ila umeme wa uhakika hamna.

Kama umeme wa uhakika ulikuwepo hapo awali, vyanzo vya sasa ndio vinazidi kuboreshwa n vingine kuongezeka, basi viongozi waliopo kwenye wizara ndio shida. Mbadilike pia.

Mnalipwa pesa nyingi ila matokeo ya kazi zenu ni below average, shame on you. You're an enthusiastic n effortful disappointment to the whole of leadership community.

Mjiiuzuru basi au mbadilike. Inaniuma kufikiria kuwa kauli uliyoitoa inamaanisha hata mwezi wa6 utapofika, uwepo wa umeme wa uhakika ni 50%. Kama wewe mwenye wizara hujui, sisi unatuweka katika hali gani??
 
Umeme umekuwa kaa la moto. Ushauri wa zamani ifuatwe. Secta Hii ibinafsishwe tuu, hiyo ndo dawa ya kudumu. Simu ilikuwa hivihivi. Mashirika binafsi waliporuhusiwa, hakuna mbambamba
 
Umeme umekuwa kaa la moto. Ushauri wa zamani ifuatwe. Secta Hii ibinafsishwe tuu, hiyo ndo dawa ya kudumu. Simu ilikuwa hivihivi. Mashirika binafsi waliporuhusiwa, hakuna mbambamba
Kwani unadhani hawafahamu SULUHU ya hizi CHANGAMOTO?..hata mtoto wa 1st year ,UDOM anatatua kabisa..nadhani wanafaidika na hizi crisis za Umeme na Sukari..
 
Back
Top Bottom