Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa nidhamu kubwa waliyokuwa nayo wakati wote wa maandamano.
Kipekee RPC anastahili pongezi hasa pale msafara wa Biteko ulipokutana na maandamano yaliyokuwa yanaongozwa na Lissu kwa kumpitisha Biteko pembeni barabara ya vumbi na kumuachia Lissu na waandamanaji barabara kuu ya lami. Kama RPC angeng'ang'ania kumpitisha Biteko barabara ya lami basi lo lote lingeweza kutokea kwani Lissu alikwisha kutoa amri kwa waandamanaji kutokupisha barabara.
Hongera sana RPC!