Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu...
Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa...
CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia...
Kupitia Ukurasa wake wa X Waziri Bashe amefafanua kauli yake kulingana na alivyonukuriwa jana na vyombo vya habari
Waziri amesema Mwezi unaokuja kutakuwa na Sukari ya kutosha
Jumaa Mubarak 😀
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika...
Ni safari ya pili sasa Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinatumika ktk Baraza la Mawaziri.
Mara ya kwanza ilikuwa wakati wa Utawala wa Awamu ya PILI Rais Ally Hassani Mwinyi alimteua Hayati Augustino...
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo
Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU)
Kwenye Kweli yupo Mungu...
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua.
Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho...
Salaam, Shalom!!
SHERIA zetu ziko wazi kuwa, miaka sitini ni umri wa kustaafu, inaaminika baada ya miaka 60, uwezo na nguvu za kufanya KAZI Huwa unakuwa umefika KIKOMO na kuanza kupungua...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila...
Natoa ombi kwa Watendaji wote kwani Serikali ikiharibu inasomeka CCM imeharibu
2025 kutakuwa na Uchaguzi halisi hivyo ongezeni jitihada hawa Watanzania Siyo wajinga tena
Jumaa Mubarak 😀
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika...
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni...
Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!.
Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi...
Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii.
Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu...
Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme...
Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili...
Askofu Bagonza amewahi kuandika Makala yake ya kifalsafa juu ya Haki ya binadamu kulia,
CCM wamekiri wenyewe kuwa walimuonea Lowassa na kuumiza roho na mwili hadi Ikafikia kumkata kwa kashfa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.