Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,007
- 5,446
Wasaalam ndugu zangu watanzania,
Nina machache kuwaeleza kutoka vyanzo vya ndani vinavyoona vya mbali.
Mkakati ulisukwa ukasukika japo hawakutegemea kama utatiki kiasi hiki... pepo imeamia nchini wachache ndo wanaoiona na kuishi.
Miungu inaongezeka yote inadai sifa ikimsifia mungu mtu mmoja mioyoni wakiutaka uungu.
Raia kususia siasa, wamekata tamaa, maamuzi na mustakabali wa taifa lao hawana, wanapitia magumu huku wakiwangalia wanaowapitisha na kudhihakiwa.
Malaika wa sifa wana mda mchache saana yata warudi vita ya miungu itawaangamiza na kuawamaliza...
Itawamaliza kiuchumi na kijamii
Itawagharimu mpaka maisha...
Wote wakisha elekea kibra hukuna wakugeuza shingo... yajayo yanatisha ukiweza amua sasa.