Maandamano ya Mbeya yafunika yale ya Dar na Mwanza

CHIEF PRIEST

JF-Expert Member
Dec 13, 2021
4,764
7,974
Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.

Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.

Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
 
Bila picha ni umbea tu
 
Tulia amelipa vijana wengi mno , wengine wamelamba mpunga wakasepa .

Tutakuja na majina ya wahusika wote baadaye kidogo
 
Picha za leo ndio hizo
 
Attachments

  • 9cf9ad04-e23c-4907-8195-c133d96cf7c7.jpeg
    9cf9ad04-e23c-4907-8195-c133d96cf7c7.jpeg
    189.7 KB · Views: 2
  • 60333bb9-cfda-4083-b1e7-9b8a5a379330.jpeg
    60333bb9-cfda-4083-b1e7-9b8a5a379330.jpeg
    128.5 KB · Views: 2
  • 8a7bb9ed-c87c-4077-adda-8efe405d1897.jpeg
    8a7bb9ed-c87c-4077-adda-8efe405d1897.jpeg
    105.7 KB · Views: 2
  • cfceecd8-9fae-495a-bbb0-470e1a5fc8ae.jpeg
    cfceecd8-9fae-495a-bbb0-470e1a5fc8ae.jpeg
    135 KB · Views: 3
Wakifanya hayo matembezi ya hisani angalau miji 10 itasaidia kina Heche na vigogo wengine wa chama cha Mbowe kupunguza vitambi. Vitambi vya ruzuku ni vibaya kwa afya.
 
Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.

Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.

Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
Picha hizi hapa

IMG-20240220-WA0016.jpg
IMG-20240220-WA0018.jpg
IMG-20240220-WA0019.jpg
IMG-20240220-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom