Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro ambako walianzia Ilemela kanisani.

Kimsingi kuruhusiwa kutumia barabara hizo maana yake walizuia watu wengi kufanya sughuli zao. Wapo watu walichelewa ndege, kufika ofisin au kwenda hospitali na shughuli zingine.

Je, hatuna njia nyingine ya kuondoa kadhia hii bila kuathiri stahiki za watu?
 
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema...
20 Februari, 2024

🌍KAMATI YA UTEKELEZAJI YASHIRIKI MATEMBEZI NA MAAFISA USAFIRISHAJI

Mwenyekiti UVCCM Taifa Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) pamoja na wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UVCCM Taifa wamefanya matembezi ya amani na maafisa usafirishaji (Bajaji na Bodaboda) kutoka ofisi za CCM mkoa wa Manyara hadi Mahakama ya zamani ambapo kamati ya utekelezaji wamefungua shina la wakereketwa la Bodaboda.

Imetolewa na;
SASA WEWE MPUUZI, Hawa walikuwa wanaswali?
Hawa hawajazuia barabara nzima?
Hawa walikuwa wanaandamana Somali- Mogadishu?
Makonda anayefunga Barabara kwa muda mrefu kuliko Rais wa Nchi anafungaga Somalia?
Wewe ni CHAWA unakuja na koti la kipepea mtengeneza asali hujui hata kuandika usijulikane?

Wewe ni mpuuzi ambaye huenda upo gizani hakuna umeme, shemejiyo karudi hata sebuleni huwezi kukaa na hujanywa chai kwakuwa sukari hakuna lakini huoni umuhimu wa watu wanaojitolea kuikumbusha seriakli wewe ukiwa unakunywa uji japo kwa shemeji yako.

Wanadamana kudai katiba rais atokane na kura za kweli na nchi ipate baraka tuepukane na adhabu za Mungu wewe unataka mambo ya ukoloni yaendelee?

WhatsApp Image 2024-02-20 at 16.45.42.jpeg

WhatsApp Image 2024-02-20 at 16.45.43.jpeg

WhatsApp Image 2024-02-20 at 16.45.44.jpeg
 
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro ambako walianzia Ilemela kanisani.

Kimsingi kuruhusiwa kutumia barabara hizo maana yake walizuia watu wengi kufanya sughuli zao. Wapo watu walichelewa ndege, kufika ofisin au kwenda hospitali na shughuli zingine.

Je, hatuna njia nyingine ya kuondoa kadhia hii bila kuathiri stahiki za watu?
Acha kujitoa ufahamu. Kwa hiyo yale maandamano ya muigizaji wenu Bashite yalikuwa hayaathiri hizo stahiki za watu!!
 
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro ambako walianzia Ilemela kanisani.

Kimsingi kuruhusiwa kutumia barabara hizo maana yake walizuia watu wengi kufanya sughuli zao. Wapo watu walichelewa ndege, kufika ofisin au kwenda hospitali na shughuli zingine.

Je, hatuna njia nyingine ya kuondoa kadhia hii bila kuathiri stahiki za watu?
Ifike mahala huu ujinga wa Chadema ukome.Kama hizi ndio Demokrasia ambazo Serikali inazihubiri basi ni upumbavu.

Kama mnataka kuandamana ,andamaneni huko pembeni mwa Mji sio Kuzuia Barabara kuu Kwa visingizio vya kijinga.

Wanakoelekea watasema ni maandamano ya Nchi nzima
 
Si mnajisifia hakuna watu? Sasa wanachelewa vipi ndege kama barabara ni nyeupe?
 
Tuoneshe picha ya aliyechelewa ndege kisa maandamano ya chadema lakini wakati wa maandamano ya makoñda abiria huyo aliwahi ndege!
 
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro ambako walianzia Ilemela kanisani.

Kimsingi kuruhusiwa kutumia barabara hizo maana yake walizuia watu wengi kufanya sughuli zao. Wapo watu walichelewa ndege, kufika ofisin au kwenda hospitali na shughuli zingine.

Je, hatuna njia nyingine ya kuondoa kadhia hii bila kuathiri stahiki za watu?
Maandamano yalifanyika kwa kushtukiza?Lawama zingine utadhani punguani.Masaa mawili kabla ya maandamano mlikuwa wapi mkashindwa kufanya kusudio lenu?
 
Ifike mahala huu ujinga wa Chadema ukome.Kama hizi ndio Demokrasia ambazo Serikali inazihubiri basi ni upumbavu.

Kama mnataka kuandamana ,andamaneni huko pembeni mwa Mji sio Kuzuia Barabara kuu Kwa visingizio vya kijinga.

Wanakoelekea watasema ni maandamano ya Nchi nzima
Huna akili wewe hujui kwamba hizo barabara hata hao wandamanaji walishiriki kuzijenga?
Yule bashite alikuwa anapaa angani?
Mbona hata watoto walitoleqa shuleni na kwenda kwenye mikutano yake?
Umeme hakuna ni kwa ajili ya maandno?
Sukari imepandishwa na maandamano?
Hembu peleka uchawa wako mbele huko
 
Back
Top Bottom