Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko...
3 Reactions
6 Replies
570 Views
Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Sisi wananchi wa maeneo ya vijijini na mikoa ya pembezoni tunayo heshima kubwa kumuomba waziri wa katiba na sheria kutoa elimu kwetu sisi kwa kipindi cha miaka mitano sio miaka mitatu...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na...
5 Reactions
99 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na...
14 Reactions
216 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Daraja na hatua iliyopo CCM Kisiasa kwa sasa hakuna chama kilichofikia wala kukaribia,Ni kama vile CCM inacheza uwanja wake na ligi yake ya pekee yake ambayo kwa vyama...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii...
12 Reactions
70 Replies
8K Views
Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubhhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE. -----...
9 Reactions
161 Replies
11K Views
Dr Slaa amesema wao hawaogopi kukamatwa na kushtakiwa kwa Uhaini kwa sababu hata Yesu Kristo alishtakiwa kwa Uhaini ili kukwamisha Ukombozi wa Wana wa Israel Hakuna kifo cha Heshima kama cha...
2 Reactions
12 Replies
857 Views
Waziri wa TAMISEMI mh Mchengerwa amewaambia Viongozi kuwa hivyo Vyeo walivyonavyo siyo vyao ni vya Wenye nchi ambao ni Wananchi Wao wamedhaminiwa tu Mchengerwa amesema Taarifa alizonazo ni...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima. Sakata la bandari limeibua...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya...
68 Reactions
560 Replies
40K Views
Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na...
1 Reactions
3 Replies
635 Views
Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337. TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye...
13 Reactions
44 Replies
9K Views
Kabla ya wakoloni kuja Africa tuliishi kwa namna yetu. Bahati mbaya historia ya Afrika imepotezwa kwa makusudi au kupotoshwa. EAST AFRICA COMMUNITY KWA SASA The Republic of Burundi The...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Ifike mahali sasa Chadema nayo ipewe Nchi tu , hakuna namna yoyote tena ya kuwakwepa , Wana watu nyuma yao . Naweza kuthibitisha kwamba hakuna kiongozi yoyote wa Tanzania aliyewahi kupata...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC. --- Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI...
9 Reactions
85 Replies
5K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
1. Eti msichanganye dini na siasa wakati kwenye misaafu tunasoma dini na siasa haviwezi kutenganishwa. Na ndiyo maana viongozi wetu huapa kwa misaafu hiyo. 2. Eti viongozi wa dini wanapaswa...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…