Ni kuwa mjadala wa Richmond ndio unaanza japo mbunge wa Kigoma Mjini ndugu Peter Serukamba alimtaka spika kumpa ufafanuzi kwanza kuwa ni kwanini Waziri mkuu hakupewa nafasi ya kujitetea kwenye...
Ndugu zangu watanzania ,
Hiyo ni taarifa iliyotolewa na Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu akiwa mkoani Mbeya ,kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgao wa umeme utakwisha bali inachofanya serikali...
Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana...
Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya...
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza wataalam kufanya ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata huduma ya umeme ya uhakika...
Na. Saidina Msangi, WF, Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Jukwaa la Kodi kitaifa lililoandaliwa na Wizara ya Fedha...
Binafsi namuunga mkono Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe aweze kumrejesha Chamani Dr Slaa
Dr Slaa aliondoka Chadema kwa heshima kupisha maamuzi muhimu ya kihistoria ya Kamati kuu ya Chama
Hata Mdee...
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi...
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu...
1. Mbeya Mwanza kumeonyesha - Umoja wetu utamng'oa nyoka pangoni:
2. Kwamba Slaa anasema:
_______
"Katiba iliyopo ilitengenezwa na watu wasiozidi 20 Kwa siku chache sana. Haipo sababu yoyote...
CCM:wanaodai katiba mpya ni wanasiasa ili waingie madarakani. Wapinzani:CCM wanabaki madarakani kwa kwa kutumia katiba hoi mbovu.
Sasa swali ni je,kuwa upinzani kunawaondolea haki ya kuwa kundi...
Habari zinazinifikia sasa hivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko Oldonyasambo, ambapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano...
Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa...
Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana
SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana...
Baada ya kebehi na dharula za muda mrefu kwa Arusha kukosa Standi Kuu na Bora ya Mabasi ya Mikoani Hatimaye Mama wa Vitendo Rais Samia amewapa wana Arusha furaha.
Mamlaka za ujenzi zimetoa...
Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa.
Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona...
Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa.
Majadiliano yao yamefuatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.