Rais Samia mteue Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
491
763
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi

Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya akiwa Mkuu wa Wilaya Hai.
 
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa lengai ole sabaya wakati akiwa dc Hai mkoani Kilimanjaro Kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam ili akapige kazi

Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda ole sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya akiwa dc Hai.
Duuu hii ndo tz
 
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi

Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya akiwa Mkuu wa
Duuh
 
Laiti ungetambua kuwa hata kitendo cha m/kiti wenu wa CCM(T) kumteua Paul Makonda kwenye nafasi hiyo ndani ya chama chenu kwamba, it was a grave mistake, basi hata usingethubutu ku - impose wazo lako hilo la kishetani hapa kana kwamba kati ya Watanzania karibu 70,000,000 hakuna watu wasafi na waadilifu kiasi cha kufikiria kuwa huyo mhalifu mwenzenu anaweza kupewa dhamana ya uongozi tena kwa nafasi yeyote ndani ya ofisi za umma...

Mnachoweza kufanya, mpeni nafasi yeyote ndani ya chama chenu chakavu ili mpigwe mawe vizuri na wapinzani wenu hususani CHADEMA...

Na sijui ni kwanini huna hata ufahamu mdogo tu wa kuelewa kuwa, Magufuli hayupo tena na njia na mbinu za uongozi alizotumia Hayati Rais Magufuli kwa kuwatumia vijana wajinga na wapumbavu sampuli ya Sabaya, Makonda na wafananao na hao, kwamba kwa majira na nyakati hizi haziwezi kufanya kazi tena.!!

Hizi ni nyakati mpya. Haya ni majira mapya. Tanzania inaenda kufungua ukurasa mpya ktk siasa zake na utawala...

Soma alama za nyakati na muombe Mungu akupe neema ya kuelewa uondokane na ujinga wa kukosa ufahamu...

SOMA NA UFAHAMU....
 
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi

Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya akiwa Mkuu wa Wilaya Hai.
Uteuzi una taratibu zake,wanadarisalamaa,hawataki kukuru kakara za ziada walizonazo zinatooooshaaaa🤓
 
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi

Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya akiwa Mkuu wa Wilaya Hai.
Yaani unataka mtu ALIYEWAHI KUHUKUMIWA NA MAHAKAMA kufungwa maisha na kukataa rufaa kushindikana akatoka kwa msamaha wa Rais ndo ajr awe mkuu wa mkoa? You are serious?
 
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi

Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya akiwa Mkuu wa Wilaya Hai.
Ficha upumbavu wako
 
Tatizo Dar kuna maharamia, akija huku akaleta utapeli na ubabe wake wa kingese ataishia kushikishwa ukuta tu.
 
Back
Top Bottom