1970s Mashirika ya Umma yalikuwa na Hospital zao Government hospitals ilikuwa kwa Watumishi wa Serikali na Wananchi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,088
Mashirika yasiyokuwa na hospital zao walitibiwa kwa Dr Mvungi, Dr Mtawali,Burhani, Ibrahim Haji nk

Nakumbuka pale Samora avenue kwa Dr Mtawali mapokezi yake tu unaanza kupona

Siku Hizi ukiwa na Bima za Umma utaona jinsi ushirikiano unavyokuwa mdogo kuanzia Mapokezi hadi Chumba cha sindano

Nawatakieni Sabato Njema 😀
 
Naikumbuka Dar Group moja ya hospital matata sana enzi hizo! Familia tulitibiwa sana pale kwa ticket ya mzee alikuwa anafanya shirika gani hata sikumbuki. Palikuwa pa kibabe mno.
 
Mashirika yasiyokuwa na hospital zao walitibiwa kwa Dr Mvungi, Dr Mtawali,Burhani, Ibrahim Haji nk

Nakumbuka pale Samora avenue kwa Dr Mtawali mapokezi yake tu unaanza kupona

Siku Hizi ukiwa na Bima za Umma utaona jinsi ushirikiano unavyokuwa mdogo kuanzia Mapokezi hadi Chumba cha sindano

Nawatakieni Sabato Njema 😀
Afya ya binadamu ikiwekwa rehani kwa wafanya biashara usalama wa nchi unakuwa mdogo sana! Magonjwa yasio fahamuka nirahisi kulipuka na dawa zi uzwe! Arusha kumekuwa na mrundikano wa ma volunteers wanatoa huduma za afya mashuleni yaani ni vurugu! Ummy utanikwaza kama hutafatilia hili! Haiwwzekani watu wa mataifa mengine waje wanyie fields za vyuo vyao kwenye afya za watoto wetu!! Uhai na afya ya mtanzania mmoja vikiangamia taifa lina hasara! Hamuoni wao akitekwa mmoja au kuuwawa wanacholipiza!!?
Alafu Hizi Private hospitals kama vipi JWTZ liwe na hospitali moja mbadala ya rufaa kila wilaya, nadhani ufanisi utakuwepo na frdha irudi kundini kuoitia mifuko! Nahisi madaktari wapiganaji wana nidhamu! Fanyeni maamuzi magumu kwa usalama wa taifa letu! Hili ni bomu linajirutubisha kwa kuwategemea private hospitals kwa 100%! Sisemi hawafai ila kwenye 100% tayari 60% zao wamesha haribika! Hiyo 40% nao watalazimishwa waharibike!
Ni mtazamo
 
Back
Top Bottom