Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,417
Wakuu heri ya sikukuu ya pasaka na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji (Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi, Amina)
Baada ya salamu hizi naomba kufahamishwa alipo nguli wa siasa za Zanzibar , Mh Salmin Amour Juma , nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .
Komandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi?