Kuna kitu sijakipenda kwenye Mazishi ya Mwinyi

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.

Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.

Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu.

Mzee Mwinyi ndiyo Muasisi wa Mageuzi ya Demokrasia,nilitegemea katika Msiba huu Vyama vya Upinzani navyo vipewe nafasi ya kuzungumza katika Ratiba ila sijaliona hilo.

Msiba umekuwa wa upande mmoja kwa Maana ya Serikali na Chama chake wakati kiuhalisia sivyo ni msiba wa kitaifa na ungetumika vizuri kuonyesha na kuimarisha umoja wa kitaifa.

Ukimuangalia Rais anatamani sana Taifa liwe moja ila inaonekana kuna shida sehemu ndiyo maana utekelezaji wa Dhamira yake unakutana na Vihunzi vingi sana.

Sijui ni kwanini!
 
Mbowe kuitwa na kutopewa nafasi ya kuzungumza inawauma..

Hayo anayoyasema ingeanza kumwambia Lema alichofanya katika msiba wa lowasa
 
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.

Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.

Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu.

Mzee Mwinyi ndiyo Muasisi wa Mageuzi ya Demokrasia,nilitegemea katika Msiba huu Vyama vya Upinzani navyo vipewe nafasi ya kuzungumza katika Ratiba ila sijaliona hilo.

Msiba umekuwa wa upande mmoja kwa Maana ya Serikali na Chama chake wakati kiuhalisia sivyo ni msiba wa kitaifa na ungetumika vizuri kuonyesha na kuimarisha umoja wa kitaifa.

Ukimuangalia Rais anatamani sana Taifa liwe moja ila inaonekana kuna shida sehemu ndiyo maana utekelezaji wa Dhamira yake unakutana na Vihunzi vingi sana.

Sijui ni kwanini!
Shida ni baadhi kutamani mama asiache alama. asicheke nao asimame yeye kama yeye na 4 R asitegemee unafiki wa baadhi ya wasaidizi wenye nia mbaya naye hii misiba ya kitaifa inatakiwa iakisi sura kitaifa wakiwemo wapinzani kutoa salamu.
 
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.

Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.

Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu.

Mzee Mwinyi ndiyo Muasisi wa Mageuzi ya Demokrasia,nilitegemea katika Msiba huu Vyama vya Upinzani navyo vipewe nafasi ya kuzungumza katika Ratiba ila sijaliona hilo.

Msiba umekuwa wa upande mmoja kwa Maana ya Serikali na Chama chake wakati kiuhalisia sivyo ni msiba wa kitaifa na ungetumika vizuri kuonyesha na kuimarisha umoja wa kitaifa.

Ukimuangalia Rais anatamani sana Taifa liwe moja ila inaonekana kuna shida sehemu ndiyo maana utekelezaji wa Dhamira yake unakutana na Vihunzi vingi sana.

Sijui ni kwanini!
Msiba umekuwa wa upande mmoja kwa Maana ya Serikali na Chama chake wakati kiuhalisia sivyo ni msiba wa kitaifa na ungetumika vizuri kuonyesha na kuimarisha umoja wa kitaifa.
 
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.

Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.

Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu.

Mzee Mwinyi ndiyo Muasisi wa Mageuzi ya Demokrasia,nilitegemea katika Msiba huu Vyama vya Upinzani navyo vipewe nafasi ya kuzungumza katika Ratiba ila sijaliona hilo.

Msiba umekuwa wa upande mmoja kwa Maana ya Serikali na Chama chake wakati kiuhalisia sivyo ni msiba wa kitaifa na ungetumika vizuri kuonyesha na kuimarisha umoja wa kitaifa.

Ukimuangalia Rais anatamani sana Taifa liwe moja ila inaonekana kuna shida sehemu ndiyo maana utekelezaji wa Dhamira yake unakutana na Vihunzi vingi sana.

Sijui ni kwanini!
Unaposema Raisi anatamani kuona kuna umoja wa kitaifa ,unamtenga na huo mfumo unaojirudiarudia kwenye mazishi ya great of figure's?

Unamsukumia kosa mtoto ila mzazi unamuacha? Huwezi fikiri kywa huenda ni maamuzi ya mzazi mwenyewe?
 
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.

Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.

Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu.

Mzee Mwinyi ndiyo Muasisi wa Mageuzi ya Demokrasia,nilitegemea katika Msiba huu Vyama vya Upinzani navyo vipewe nafasi ya kuzungumza katika Ratiba ila sijaliona hilo.

Msiba umekuwa wa upande mmoja kwa Maana ya Serikali na Chama chake wakati kiuhalisia sivyo ni msiba wa kitaifa na ungetumika vizuri kuonyesha na kuimarisha umoja wa kitaifa.

Ukimuangalia Rais anatamani sana Taifa liwe moja ila inaonekana kuna shida sehemu ndiyo maana utekelezaji wa Dhamira yake unakutana na Vihunzi vingi sana.

Sijui ni kwanini!
Acha ujuha ,hawe wazee wa siasa wakipewa nafasi bila hata ya aibu wanachomeka siasa .Shame on THEM.
 
Back
Top Bottom