Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,535
8,620
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
 
Asilimia kubwa ya watu Tz ni chini ya miaka 35, hawa hawamjui Mwinyi na hakuna connection. Hata msafara wake huku bara watu wachache sana walitokea barabarani kumuaga.
Huwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..
Pengine tujifunze pia kutohodhi Misiba ..kwani inawafanya watu kuona huu ni msiba wao Yaani wa viongozi
 
Leo sio siku ya kazi. Uwanja hubebwa na wafanyakazi wa Serikali na wanafunzi.

Hata hivyo sio issue kama chichiem wanapeleka wapiga kura wakati wa kujiandikisha na wakati wa kupiga kura, na leo wawapeleke kuokoa jahazi.
 
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?

Hata kwenye maandamano yetu watu huanza kujikusanya polepole kulikoni kuwa kama ile mizuka ya MEF?
 
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?

Watakuja...
 
Unakumbuka kilichotokea wakati wa kumuaga Magufuli? Kwa taarifa yako, walifariki watu wengi kweli kweli halafu serikali ikaficha. Wale wote waliofariki walizikwa na ndugu zao na attention yote ya serikali ilikuwa ni mazishi ya Magufuli. Nitashangaa sana kama kuna watu bado hawakujifunza kwenye lile tukio.
 
Huwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..
Pengine tujifunze pia kutohodhi Misiba ..kwani inawafanya watu kuona huu ni msiba wao Yaani wa viongozi

Kabisa wangefanya simplicity kama ya Jumbe.
 
Back
Top Bottom