Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga". Baada ya hapo...
1 Reactions
84 Replies
4K Views
Mwamba wa siasa za eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ya Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, atahutubia Dunia kwenye kilele cha siku ya Wanawake Duniani katika maadhimisho...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kimsingi kuongoza vyama vya upinzani nyakati hizi za Ukoloni Mambo Leo Siyo jambo jepesi ni jambo hatarishi kwa mabeberu na Mafisadi Uchwara wenye ngozi nyeusi Niwatie Moyo Bawacha kwenye hii...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Ile Taasisi Bora ya akina mama Barani Africa ( BAWACHA), Leo imeandaa kongamano la wanawake ambalo kidunia linafanyika Dodoma, lengo la jambo hili ni kutathmini mchango wa mwanamke, kisiasa...
22 Reactions
127 Replies
7K Views
Ado Shaibu: Aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo. UTANGULIZI Jana tarehe 7 Machi 2024, Halmashauri Kuu ya Chama ya Chama cha ACT Wazalendo ilikutana kwenye kikao chake maalum...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jf habari za kutwa nzima ya leo wakuu! Wadau kuna kitu hapa sielewi natamani wajuzi wanisaidie huenda hofu na mashaka vikaniondoka. Wiki hii tangu ianze 04/03/2024, hadi siku ya leo...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Usiku wa deni ni mfupi sana! Kesho ndio kesho ndio kesho siku tuliyoahidiwa umeme wa uhakika na mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano! SIMLAUMU kwa asilimia kadhaa maana naye alihakikishiwa na...
15 Reactions
33 Replies
2K Views
Tumekuwa tukisikia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri kuwa uchaguzi ule wa 2020 chini ya Magufuli haukuwa wa kidemokrasia wala haki. Tunashukuru kwa taarifa. Swala...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje...
9 Reactions
78 Replies
4K Views
CAG mstaafu Prof Assad amewafananisha Viongozi wa sasa na ile hadith ya Babu Paka ambaye alijifanya ni Mwema kumbe ni Ulaghai wa kuwatafuna Panya Kimya Kimya Mmoja baada ya mwingine Assad anasema...
30 Reactions
83 Replies
6K Views
Kwa kuwa wote kuanzia Kinana, Nape, January Makamba na Jokate Mwegelo mmekiri hadharani kuwa miaka mitano iliyopita hali nchini ilikuwa mbaya na watu hawa kutendewa haki na walitendewa mabaya ni...
4 Reactions
18 Replies
926 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapo usiku wa jana katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani Rais wetu na jemedari wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital . Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba...
11 Reactions
197 Replies
13K Views
Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa...
1 Reactions
1 Replies
878 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeamua nitoe darasa dogo hapa la elimu kwa watanzania wenzangu wenye mawazo ya kijima. Katika kampeni za 2015 hayati Edward lowassa aliyekuwa mgombea wa CHADEMA alisema...
14 Reactions
253 Replies
11K Views
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na...
45 Reactions
79 Replies
4K Views
International Women's Day ni siku muhimu sana katika kuweka uzani Sawa wa kijinsia. Kutokana na hapo mwanzo kuwepo kwa mifumo ambayo haikutoa fursa Sawa, katika nyanja mbalimbali za kimaisha...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…