Freeman Mbowe Mgeni Rasmi wa Siku ya Wanawake BAWACHA Dodoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,722
218,276
Screenshot_2024-03-07-22-21-41-1.png

Mwamba wa siasa za eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ya Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, atahutubia Dunia kwenye kilele cha siku ya Wanawake Duniani katika maadhimisho yatakayofanyika Dodoma Nchini Tanzania

Mbowe ambaye Hotuba zake mara zote hutoa Mwongozo na Dira ya Taifa Nchini Tanzania , haijulikani katika hafla hii ya kidunia atatoa Mwongozo gani kwa viongozi wa Dunia.

Usiondoke Jf kwa habari kamili.
 
Wanawake wenye ushawishi bawacha ni wale kina Mdee waliobaki bawacha imejifia!
 
Mkutano ilitakiwa uhutubiwe na mgeni Rasmi mwanamke kutoka ndani ya Bawacha au taasisi yoyote ile au mwanamke yeyote yule mwenye ushawishi katika jamii, ili atoe muelekeo sahihi na ujumbe kwa wanawake wenzake wa CHADEMA katika masuala mbalimbali yanayogusa wanawake.ikiwepo kuwapa hamasa ya wao kushiriki katika chaguzi zijazo kwa kugombea na kuwaunga mkono wanawake wenzao waliogombea,kujadili masuala ya uchumi na ujasiriamali na namna ya kuinuana, kujadili masuala ya malezi kwa watoto,kujadili masuala ya nafasi ya mwanamke katika mabadiliko ya namna yoyote ile katika jamii na umuhimu wa mwanamke na nguvu ya ushawishi aliyo nayo.

Haya yangezungumzwa na mgeni rasmi ambaye ni mwanamke na siyo Mbowe. kumpa ugeni rasmi mbowe ni kuwadharau Bawacha kuonekana hakuna mtu mwenye uwezo wa kuongoza shughuli hiyo na mwenye kutoa ujumbe wa kugusa wanawake na kuwaleta pamoja ndani ya CHADEMA.ni kuwadogesha na kuonekana jumuiya haipo imara na haiwezi kusimama yenyewe na ikajizungumzia mambo yake yenyewe.

Pia ni kuonyesha kuwa CHADEMA bado haijawa taasisi imara kwa kuwa kila kitu ili kionekane kitakwenda sawa na kukamilika basi ni lazima kuongozwa na kusimamiwa na mbowe mwenyewe.sasa mbowe mpaka lini? Jumuiya zitakuwa na nguvu yake lini? Mnawaandaa vipi viongozi wa kesho kama mnashindwa kuwaamini viongozi wake kuweza kuongoza na kusimamia shughuli yake? Mtawajengea kujiamini katika matukio yapi sasa? Mimi nafikiri matukio makubwa kama haya ndio mngewapa hao wanawake wenu wa Bwacha fursa ya kuendesha na kusimamia matukio hayo makubwa wenyewe,ili kuwaongezea kujiamini,kupata uzoefu,kujijenga na kuijenga jumuiya pamoja na kuvuta hisia za watu nje ya jumuiya kuliko kumtegemea mbowe kwa kila kitu hata ambavyo kwa wenye akili unaona kuwa hapa hakustahili kuwa yeye.

Shida ya CHADEMA ni ile hali ya kutokujiamini na kujipendekeza kuliko pita kiasi.kila mtu anamuagalia Mbowe.hali hii inakidhoofisha Chama na kutokukikuza wala kukiimarisha maana mawazo yanakuwa ni yale yale kutoka kwa mtu yule yule wa miaka yote.kwanl hiyo kunakuwa hakuna radhi mpya kwa masikio ya wasikilizaji.
 
Mwamba wa siasa za eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ya Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, atahutubia Dunia kwenye kilele cha siku ya Wanawake Duniani katika maadhimisho yatakayofanyika Dodoma Nchini Tanzania

Mbowe ambaye Hotuba zake mara zote hutoa Mwongozo na Dira ya Taifa Nchini Tanzania , haijulikani katika hafla hii ya kidunia atatoa Mwongozo gani kwa viongozi wa Dunia.

Usiondoke Jf kwa habari kamili.
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Sasa mbona hamuwapi nao nafasi ya kumwaga sera? Kila siku ni mtu yule yule tu utafikiri yeye ni CEO wa kampuni ya chadema!
Relax mkuu,mbona unaweweseka sana, mara CDM ni mfu, mara sio tishio ,mara chama cha kikanda, sasa wasiwasi wote huo wa nini ?,mnakosa usingizi na ndio kwanza CDM plane inajiandaa kuruka,pilot atakapo weka full throttle ready for take off, Lumumba street mtasambaratika,why Singida kuna umasikini wa ajabu, alisikika mpangaji mkuu wa magogoni aliuliza hili swali!!
 
Mkutano ilitakiwa uhutubiwe na mgeni Rasmi mwanamke kutoka ndani ya Bawacha au taasisi yoyote ile au mwanamke yeyote yule mwenye ushawishi katika jamii, ili atoe muelekeo sahihi na ujumbe kwa wanawake wenzake wa CHADEMA ikilizaji.
Wanawake wanataka kusikia upande wa pili unawashauri nini.
 
Wanawake wanataka kusikia upande wa pili unawashauri nini,.
Unaelewa maana ya siku ya wanawake Duniani na sababu ya kuazimishwa kwa siku hii? Kweli CHADEMA kuna kazi kubwa sana na safari ndefu sana ya kutoa Elimu ya uraia ili mjitambue na kutambua maana ya masuala mbalimbali.
 
Kwani maana yake ni kuziba midomo ya wanaume?
 
Unaelewa maana ya siku ya wanawake Duniani na sababu ya kuazimishwa kwa siku hii? Kweli CHADEMA kuna kazi kubwa sana na safari ndefu sana ya kutoa Elimu ya uraia ili mjitambue na kutambua maana ya masuala mbalimbali.
Sikukuu ya akina Lucresia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom