Dodoma: Yanayojiri kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na BAWACHA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Ile Taasisi Bora ya akina mama Barani Africa ( BAWACHA), Leo imeandaa kongamano la wanawake ambalo kidunia linafanyika Dodoma, lengo la jambo hili ni kutathmini mchango wa mwanamke, kisiasa, kiuchumi na katika nyanja zote za haki na maendeleo zinazomhusu Mwanamke.

Bawacha ndio Taasisi inayoongoza Africa na inatajwa kushika namba 2 Duniani kwa kuwa Taasisi halisi ya akina mama inayowajali wanawake, kiuhalisia, Bawacha haijawahi kukusanya Wanawake walioshindikana, wachovu, wenye kila aina ya kashfa, waliokosa maadili na kuwanadi ili kuwapa promo kwa sababu ya Umaarufu wao, hii ndio Taasisi inayohitajika Tanzania.

Angalia picha hizi za Bawacha Dodoma halafu fananisha na Wengine.

Screenshot_2024-03-08-11-42-22-1.png
Screenshot_2024-03-08-14-24-27-1.png

Screenshot_2024-03-08-15-26-30-1.png
Screenshot_2024-03-08-15-24-06-1.png

Screenshot_2024-03-08-19-54-03-1.png
 
Ile Taasisi Bora ya akina mama Barani Africa ( BAWACHA), Leo imeandaa kongamano la wanawake ambalo kidunia linafanyika Dodoma, lengo la jambo hili ni kutathmini mchango wa mwanamke, kisiasa, kiuchumi na katika nyanja zote za haki na maendeleo zinazomhusu Mwanamke.

Bawacha ndio Taasisi inayoongoza Africa na inatajwa kushika namba 2 Duniani kwa kuwa Taasisi halisi ya akina mama inayowajali wanawake, kiuhalisia, Bawacha haijawahi kukusanya Wanawake walioshindikana, wachovu, wenye kila aina ya kashfa, waliokosa maadili na kuwanadi ili kuwapa promo kwa sababu ya Umaarufu wao, hii ndio Taasisi inayohitajika Tanzania.

Angalia picha hizi za Bawacha Dodoma halafu fananisha na Wengine.

Mungu Ibariki CHADEMA
 
kumbe umo huko,hongereni sana aise

hamjamualika Mama Rais Dr SSH?
 
Hili jeshi nina uhakika kila mmoja ana watu laki moja... Mungu ibariki Bawacha
 
Back
Top Bottom