Tujikumbushe Oktoba 2020 kipindi cha uchaguzi,uliteseka na mtandao ukiwa wapi?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka niende kwa fundi nakutana na watu wengine wanajadili mtandao kuzimwa

Kuingia Jamiiforum ikashindikana ikabidi tuingilie Kenya yaani nilihisi Kama kuumwa

Hii habari ya kuzimwa mitandao nilikuwa nasikia kwenye nchi zenye hey hey nyingi lakini nilisikitika hali hii kuwepo Tanzania sitasahau kamwe na iandikwe kwenye vitabu vya kihistoria
 
Yule Mwendawazimu Jiwe
Alisababisha hasara sana just imagine biashara mtandaoni,watu walikula hasara ya kufa mtu umeorder mzigo mara paap mtandao umezimwa ghafla!

Kariakoo bila mtandao ilikua bonge la Janga tulikaa masaa mpaka kuja shtuka kupakua proxy na VPN to late tukidhani ni tatizo la kimtandao kumbe mshamba mmoja kazima switch maniner!
 
Ile siku tar 27 October asubuhi watu walipigwa na butwaa hatutosahau
 
Halafu January akiongea yaliyo moyoni mwake alaumiwe?
Huyo ndio bingwa wa kuzima mitandao, 2015 akiwa na washirika wake mafisadi ya six telecom anajua alichokuwa anafanya na vijana wake hapo masaki IT Command center ya CCM, akitaka kutoa yaliyo moyoni asianzie katikati aanzie mwanzo ili awe na moyo mweupe kabisa
 
Ule uchaguzi sitausahau aseeh. Ilibidi nimpigie jamaa yangu ndio akanielekeza nidownload VPN. Zile siku za uchaguzi niliamua niwe nashinda nyumbani tu sikutaka kukanyaga kijiweni kwangu ndio maana sikupata taarifa kwa wakati kwa kinachoendelea.
Benito Musolin alikuwa amechukua Hatamu
 
Huyo ndio bingwa wa kuzima mitandao, 2015 akiwa na washirika wake mafisadi ya six telecom anajua alichokuwa anafanya na vijana wake hapo masaki IT Command center ya CCM, akitaka kutoa yaliyo moyoni asianzie katikati aanzie mwanzo ili awe na moyo mweupe kabisa
Kuna uwezekano mkubwa mkiwa kundi na mnafanya maasi si wote mtakuwa mnafurahia matendo hayo.
 
Huyo ndio bingwa wa kuzima mitandao, 2015 akiwa na washirika wake mafisadi ya six telecom anajua alichokuwa anafanya na vijana wake hapo masaki IT Command center ya CCM, akitaka kutoa yaliyo moyoni asianzie katikati aanzie mwanzo ili awe na moyo mweupe kabisa
Jan yeye nafsi imemfinya ameamua ku confess mbele ya Dunia.
 
Yule Mwendawazimu Jiwe
Alisababisha hasara sana just imagine biashara mtandaoni,watu walikula hasara ya kufa mtu umeorder mzigo mara paap mtandao umezimwa ghafla!

Kariakoo bila mtandao ilikua bonge la Janga tulikaa masaa mpaka kuja shtuka kupakua proxy na VPN to late tukidhani ni tatizo la kimtandao kumbe mshamba mmoja kazima switch maniner!
Unapochangia Mada kuwa na Ustarabu na ujiepushe kutoa Lugha za Matusi na za kuudhi.

Sisi WanaJFs hatuungi mkono lugha za kihuni.
 
Back
Top Bottom