Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,072
Kwa kuwa wote kuanzia Kinana, Nape, January Makamba na Jokate Mwegelo mmekiri hadharani kuwa miaka mitano iliyopita hali nchini ilikuwa mbaya na watu hawa kutendewa haki na walitendewa mabaya ni wazi wote mnaungana na Chadema na watu wengine kukiri hayo na nyie sasa mmekuwa mashahidi kwa vinywa vyenu!
Kwakuwa mmeyasema hayo na tunajua mnamaanisha kabisa sasa tunaomba muanze kupaza sauti mkimtaka Rais Samia kutupatia Tume huru ya Uchaguzi na katiba mpya ili yasije yakajirudia yaliyotokea!
Tunaomba kama mnavyopaza sauti sasa kuhusu yaliyofanyika 2020 sasa muanze kupaza sauti kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi tunaomba muungane na watanzania kuhitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
Lazima mjue watanzania sio wajinga wanataka matendo sio maneno na kama kweli mna nia njema basi muanze kupaza sauti kuhusu uhitaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
Watanzania wanajua fika kabisa hata mwaka 2015 na 2020 nyie nyote mlikuwepo na mlikuwa viongozi !
Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ndio vitakuwa mfariji na suluhu la haya yote kwa hiyo tunaomba muungane nasi!