Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

Faru Tobbi

Senior Member
Oct 29, 2018
184
187
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali.

Kwa mara nyingine Leo mbele ya katibu wa itikadi, na uenezi Taifa wa CCM ndg. Makonda alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waishio manispaa ya Kahama, wamemlalamikia mkurugenzi wa manispaa ndg.

Anderson kuwa ni chanzo kikubwa cha migogoro wilayani humo na baada ya makonda kumsikiliza mkurugenzi huyo kahaidi kuchukua hatuna Kwa nafasi aliyokuwa nayo.
 
Sasa ndugu mleta mada unaposhangilia mimi kufukuzwa kazi unataka mimi na familia yangu tukale wapi? Na hata nikiondolewa mimi hii nafasi hupewi wewe.

Kama ni wizi upo kila sehemu na wala mimi sio wa kwanza kununua gari la kifahari kwa pesa za walipa kodi na wala sitokua wa mwisho. Angalia tu wakuu wa mikoa kibao wanatembelea lc 300 series. Na mama alisema tule kwa urefu wa kamba zetu.

Niambie ni kiongozi gani wa serikali hii hasiyependa kuendeshwa kwenye v8?

Kwanza Unaijua v8 wewe?
 
Sasa ndugu mleta mada unaposhangilia mimi kufukuzwa kazi unataka mimi na familia yangu tukale wapi? Na hata nikiondolewa mimi hii nafasi...
Ndugu ni taarifa sio ushabiki nenda YouTube kaangalie video ya huo mkutano utawaonea huruma idadi ya walalamikaje
 
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi ...
viongozi wenye dhamana kwa umma ni lazima wawajibike ipasavyo na kwa weledi, kwa umma na kuwajibishwa kwa vitendo vyao visivyo na adili pale inapolazimu kufanya hivyo. Na hatua ni vema zikachukuliwa mara moja, bila kumuonea haya wala kunuonea huruma muhusika...
 
Awamu hii wananchi wamelalamika nini mbele ya Makonda? Umesema amekalia kuti kavu baada ya wanancji kulalamika lakini hujasema malalamiko ya wananchi ni juu ya nini..... Be specific !!
 
Migogoro ya ardhi, rushwa hospitali za serikali
 
Sasa ndugu mleta mada unaposhangilia mimi kufukuzwa kazi unataka mimi na familia yangu tukale wapi? Na hata nikiondolewa mimi hii nafasi hupewi wewe.

Kama ni wizi upo kila sehemu na wala mimi sio wa kwanza kununua gari la kifahari kwa pesa za walipa kodi na wala sitokua wa mwisho. Angalia tu wakuu wa mikoa kibao wanatembelea lc 300 series. Na mama alisema tule kwa urefu wa kamba zetu.

Niambie ni kiongozi gani wa serikali hii hasiyependa kuendeshwa kwenye v8?

Kwanza Unaijua v8 wewe?
Kula kwa utaratibu utabirikiwa kinyume chake wewe ni mwizi.
 
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali.

Kwa mara nyingine Leo mbele ya katibu wa itikadi, na uenezi Taifa wa CCM ndg. Makonda alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waishio manispaa ya Kahama, wamemlalamikia mkurugenzi wa manispaa ndg.

Anderson kuwa ni chanzo kikubwa cha migogoro wilayani humo na baada ya makonda kumsikiliza mkurugenzi huyo kahaidi kuchukua hatuna Kwa nafasi aliyokuwa nayo.
Chanzo Cha migogoro ipi?

Taja mmoja
 
Back
Top Bottom