johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,009
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia.
Vyama vya Upinzani vitaendelea kuruhusiwa kufanya Maandamano na Mikutano ya hadhara.
===
Kuhusu siasa Samia amesema, “Uhuru wa kujieleza na kumasisha siasa za ustarabu zenye kulenga kuleta maendeleo ya watu, tunasisitiza kustamiliana na kuzingatia sheria, siasa zetu kisiwe chanzo cha tafruku au machafuko”
"Vyama vya siasa vinafanya shuguli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuaadamana tunawambia ingia barabarani tutawalinda”
Ameeleza kuwa maandamano au kujieleza vyama vya siasa zinaendelea na shughuli zao na wanaendelea kuhamasisha uhuru wa watu kufanya siasa zao.
---
“Vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuandamana tunawaambia ingieni barabarani tutawalinda, wanakwenda weee mpaka wakichoka wanakokwenda wanafika wanafanya yao haya tawanyikeni wanatawanyika, wanaotaka sijui kufanyaje tunawaruhusu, Mtu anatamani kusema tunamwambia kiwanja hiki hapa jukwaa hili, anasema weee akimaliza tunamwambia shuka Baba nenda zako anaenda zake”
“Kwahiyo tunaendelea kutoa uhuru kwa Watu kufanya siasa zao, kuna yale mazoea ya muda mrefu ya siasa za madaraka, kupakana matope na kuzushiana kama zilivyosemwa hapa bado zipo hatukatai bado zipo na nadhani mnazisikia Watu fulani wakisimama hivyo lakini tunaendelea ku-manage”
“Taifa sasa hivi lina Mama na Mama kazi yake kulea, kustahimili na kuhakikisha nyumba ina usalama, kwahiyo Mama yupo katika nafasi ya juu ya Taifa, tutegemee Taifa liendelee kutulia zaidi, jitihada zetu za kuimarisha misingi ya utawala na sheria zinaendelea kutambulika kote Ulimwenguni”