Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.

Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.

NHIF amehusika kukuza hospitali nyingi za binafsi kwa reimbursement ya mafedha mengi leo hii zinagomea wateja. Hata kama NHIF ina changamoto zake lakini sio kwa extent ya kugomea wateja wake...yaani wa kina sisi.

Sio kwamba hatuoni mnavyolazimisha na mlivyotengeneza genge la kuwapiga watanzania kwa kuexagerrate price za tiba mfano oxygen.

Hongera waziri tukiwaachia watatuletea ombwe kama ilivyo huko USA yaani mwalimu au hata daktari atashindwa kumudu gharama za matibabu.

AFYA SIO BIASHARA....NI HUDUMA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Dada fungua yako uhudumie watanzania
 
Kama utakuwa Na hoja karibu tujadili kitita nakukaribisha kama una uelewa lakini na sio Mpush #
 
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.

Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.

NHIF amehusika kukuza hospitali nyingi za binafsi kwa reimbursement ya mafedha mengi leo hii zinagomea wateja. Hata kama NHIF ina changamoto zake lakini sio kwa extent ya kugomea wateja wake...yaani wa kina sisi.

Sio kwamba hatuoni mnavyolazimisha na mlivyotengeneza genge la kuwapiga watanzania kwa kuexagerrate price za tiba mfano oxygen.

Hongera waziri tukiwaachia watatuletea ombwe kama ilivyo huko USA yaani mwalimu au hata daktari atashindwa kumudu gharama za matibabu.

AFYA SIO BIASHARA....NI HUDUMA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
" Zezeta lao " ,huna akili
Fungua hospitali yako na utoe huduma kama charity kama unaona ni rahisi hivyo
Pumbav

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi watu wa bima mtakua mnaenda vituo vya afya mnapewa majib ya dawa hamna mala vipimo havipo inauma ila itabidi tuzoee tu
 
Huwezi kuelewa hadi uingie humo uone hizo private facilities zinavyofanya kazi.
Hao NHIF kwanza hawalipi kwa wakati, unadhani hizi facilities zinajiendesha vipi.
 
NHIF ni tatizo sana kitu pekee wanachoweza kufanya kwa usahihi kukusanya michango ila kwenda kulipia matibabu ya wateja wanaleta magumashi
 
Huduma ya afya haiendani na bima isio lipa fedha stahiki kulingana na huduma ya kiafya mgonjwa anayohitaji.
Kulazimisha sio suluhisho. Kama bima wanaona malipo wanayotoa yanatosha basi wafungue hospitali zao.
Hii bima ya afya kwa kila mtu haiwezekani hapa
Pesa ni afya na afya ni pesa
 
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.

Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.

NHIF amehusika kukuza hospitali nyingi za binafsi kwa reimbursement ya mafedha mengi leo hii zinagomea wateja. Hata kama NHIF ina changamoto zake lakini sio kwa extent ya kugomea wateja wake...yaani wa kina sisi.

Sio kwamba hatuoni mnavyolazimisha na mlivyotengeneza genge la kuwapiga watanzania kwa kuexagerrate price za tiba mfano oxygen.

Hongera waziri tukiwaachia watatuletea ombwe kama ilivyo huko USA yaani mwalimu au hata daktari atashindwa kumudu gharama za matibabu.

AFYA SIO BIASHARA....NI HUDUMA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hujamfuata Jiwe?
 
Back
Top Bottom