GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa ccm wilaya ya masasi huko mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete:Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa naibu waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi ,Jakaya kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Nachingwea Lindi na wala sio Masasi Mtwara! Huko Nachingwea ndiyo alikokutana na Salma Rashid!
 
JK Mkwere wa Msoga aka Msaigoni ana historia na Marais wote wa awamu zote, kuanzia ile ya kwanza mpaka hii ya mwisho.

Tunamuombea kheri na pumziko jema Mzee wetu Ruksa, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma amfanyie wepesi Mzee wetu huyu na wazee wetu wote waliotangulia mbele za haki mimi, wewe na yule.
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa ccm wilaya ya masasi huko mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete:Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa naibu waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi ,Jakaya kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Kuna watu humu, walikuwa wanatudanganya kuwa, Kikwete alikuwa mwandani wa Nyerere.Na alikuwa anampelekea Nyerere Siri zote za nchi. Na kwamba Nyerere alimuandaa Kikwete kuwa rais.Lakin alipomuuliza kuwa wazir wako mkuu atakuwa nani.Kikwete akajibu kuwa atakuwa Lowasa. Nyerere akamfukuza. Kitu ambacho sio kweli.Leo yeye mwenyewe katueleza, ukweli kuwa alipanda mpaka kuwa wazir kwa ajili ya Mwinyi.Na kwamba hakuwa na connection yeyote,kwa kuwa alikuwa katibu wa CCM tu pale Masasi. Cheo cha chini kabisa. Nyuz nyingi humu zinakuwa chai tu.
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa ccm wilaya ya masasi huko mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete:Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa naibu waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi ,Jakaya kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Ni jambo jema kusema ukweli. Lakini akumbuke kuwa yeye alirithi kiti kutoka kwa Mkapa.

Jambo lingine asisahau usia wa Marehemu Mwinyi kuhusu kurasa za maisha yake
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa ccm wilaya ya masasi huko mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete:Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa naibu waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi ,Jakaya kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Rc Ukiwaona Mwinshehe Ditopile Mzuzuri ndiye aliyemtengenezea cross pass kwa kumtambulisha kwa Rais Hayati Mwinyi !
Kwahiyo Swahiba wake ndiye hasa aliyeanzisha ile move iliyompandisha mhe Kikwete !
Na huyo sio mwingine bali ni Ukiwaona Mwinshehe Ditopile Mzuzuri !!
Ukweli utatuacha Huru 🙏🙏 !
 
Back
Top Bottom