Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi. Akijibu swali la...
40 Reactions
77 Replies
8K Views
Ndugu Watanzania kama mnavyoona baada ya zaidi ya miaka 60 ya uhuru hali ya huduma za kijamii bado ni mbovu. Baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunaongelea huduma mbovu ya umeme. Hamna...
1 Reactions
0 Replies
680 Views
Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios I. Utangulizi Makubaliano ya...
39 Reactions
157 Replies
8K Views
Sasa ninaamini CCM inaweza kuondoka madarakani. Juhudi za Chadema kupeleka salamu Vijijini siyo Bure Bali matunda yake yameanza kuonekana. Jeshi la mageuzi Sasa naona wameanza kuhamasika. Jeshi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa...
18 Reactions
146 Replies
17K Views
YALIYOJIRI KIKAO CHA MBUNGE CHEGE NA VIJANA WA MAKAMBI WA CCM WILAYA YA RORYA KATA YA KIROGO - Mbunge katoa Ng’ombe kwa ajili ya shughuli ya vijana. - Mbunge kachangia laki 5 kwa ajili ya kuunda...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake Kata ya Partimbo kutembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA kukagua maendeleo yake. Amewapongeza wasimamizi na...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa...
35 Reactions
164 Replies
20K Views
Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi. Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Huko kwenye Nishati wala sijautafuta sababu kinachoendelea hata kipofu asiyeona anasikia... Nikajaribu kuutafuta kwenye Kilimo; ila sintofahamu za kuuza na kutokuuza, vyakula kupanda bei na hali...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Akizungumza katika Mkutano wa kujadili Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini, Rais Samia amesema Kuna uhuru wa Maoni, lakini Uhuru wa maoni una mipaka yake, siyo tu kisheria hata...
1 Reactions
1 Replies
462 Views
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba...
-1 Reactions
0 Replies
793 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linamshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo Mhe. Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa Chama hicho kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na...
4 Reactions
96 Replies
10K Views
Yaani Katiba ni ya Mfumo wa Chama Kimoja halafu akina Chadema na ACT Wazalendo wanajiita Wapinzani Hivi vyama vinavyojiita vya Upinzani wote ni Wanaharakati tu ndio sababu CCM inawakaanga tu...
1 Reactions
4 Replies
549 Views
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP). Ingawa najua kuna...
36 Reactions
71 Replies
4K Views
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo. CCM bwana!!!
21 Reactions
103 Replies
11K Views
Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha. Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona...
3 Reactions
11 Replies
765 Views
Kuna maswali mengi nimejiuliza, Zitto bungeni ameongea kulaumu kwanini Tz imefungua ubalozi Israel, lakini hajauliza maswali yafuatayo:- 1. Kwanini Watanzania wengi kila mwaka huwa wanatembelea...
27 Reactions
282 Replies
68K Views
Ukweli ni Kwamba, lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake, kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na Serikali...
49 Reactions
140 Replies
11K Views
IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Back
Top Bottom