johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,009
Nasoma muhtasari wa Kitabu cha Maisha ya Mzee Mwinyi "Rukhsa"
Mwinyi anaandika "Waswahili husema unadhani umepata kumbe Umepatikana. Niliukumbuka msemo huo miezi kadhaa baada ya kumteua Augustine Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu. Huo ni Uamuzi ambao baadae nilikuja kuujutia sana"
Haya maneno yamenitafakarisha sana na bado nayatafakari.
Jumaa Mubarak