Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za...
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?
Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.
Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then...
Hivi ndivyo BBC wametoka mrejesho wa miaka 3 ya Rais Samia Madarakani wakielezea jinsi ameshindwa viunzi na kupata Matarajio kinyume Cha Wakosoaji ambao walitarajia atashindwa.
BBC wanasema Kwa...
Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya...
Nape Nauye amekuja na suluhu ya kusambaza internet kwa kasi kuliko ilivyo sasa. Anasema kwa kuwa kila mwananchi anaumeme kwake basi miundombinu ya TANESCO itumike kufikisha mawasiliano kwenye...
Mambo yanayosikika toka Mbeya ni mifupa mitupu. Huyu mkuu wa mkoa kiukweli hafai uongozi wa kiserikali.
Alianza kuwatia lupango kijiji kizima.
Akafuata kucharaza viboko wanafunzi utafikiri...
Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemuomba aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kurejea tena na chama hicho ili washirikiane kudai haki.
Akizungumza jana jijini Dar es...
Yetu macho
====
Alichokiandika Mbowe
Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia...
Kuna mambo makubwa matatu,
Kwanza, matajiri wengi wa Africa wamejipatia utajiri kutokana biashara za uchuuzi tu bila kuhusika katika kufanya mabadiliko ya makubwa ya teknolojia. Hii ni tofauti...
Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi
Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii...
Wengi wamekuwa wakihoji kwamba je, nina nia ya kugombea? Na hata hapa kuna baadhi yenu mmeniuliza, ngoja niondoe sintofahamu, ni kweli nia yangu ya kugombea ubunge ipo lakini bado sijajua...
Siku chache zilizopita, Rais wetu kipenzi alifika Sengerema kwa ziara iliyoambatana na uzinduzi wa mradi maji.
Katika hotuba na tambo za sherehe ya uzinduzi, Rais aliambiwa mradi umekamilika kwa...
CCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na...
Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia,Mamlaka ya Anga imeanza Kuzalisha ndege zake za abiria yaani chartere plane Kwa kushirikiana na kampuni ya Schech ya Airplane Africa Limited ambapo Hadi Sasa...
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi.
Nilitegemea...