Profesa Issa Shivji alisema haya kupitia shairi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Soma Shairi ilo

Mlikuwa wapi?
Enyi wasomi
Mlikuwa wapi?
Uhuru wetu ukiminywa
Mlikuwa wapi?
Mliosoma kwa jasho letu
Mliopanda ngazi kupitia mabega zetu
Mlikuwa wapi?
Ardhi yetu ikiporwa
Maliasili zetu yakimnadishwa
Unyonywaji wetu ukihalalishwa
Uhai wetu ukizimia
Mlikuwa wapi?
IssaBinMariam
9/‘23

shivji.jpg
 
Back
Top Bottom