Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na...
9 Reactions
140 Replies
7K Views
Kulipa kodi ni kigezo muhimu cha kupima uzalendo wa mtu kwa nchi yake kuhakikisha inapata mapato ya kujiendesha Asiyelipa kodi ya mapato sio mzalendo hatakiwi kugombea ubunge wala cheo chochote...
1 Reactions
6 Replies
546 Views
Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani...
65 Reactions
267 Replies
11K Views
Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Huyu hapa ni miongoni mwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Tanzania , sasa hata kama wewe ni kipofu wa Ubongo unadhani huyu anaweza kutenda haki yoyote ? Ndio maana Chadema na Wapenda haki wengine...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii mikutano kama ya Kituo cha demokrasia Tanzania(TCD), ya vyama vya siasa, sijui ya kamati za amani na maridhiano ni upotezaji muda tu, ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha na muda na pia ni...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar Albert Chalamila amesema ameshangazwa na watu ambao wameamua Kupeleka kesi Mahakamani kupinga Kuvunjiwa nyumba zao na TanRoads ambao wanataka kujenga Barabara ya...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa. Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Kutoka kitabu Cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi. :::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: Mauaji ya Sheikh Abeid Karume. (Misheni ya Tatu) Baada ya kuona namna...
10 Reactions
47 Replies
12K Views
Kila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati." Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu. Kwa ajili Uchaguzi...
17 Reactions
75 Replies
3K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma ikiongozwa na ndugu Muhoji aliyezungukwa na wasaidizi vilaza wavivu kutumia akili katika...
7 Reactions
339 Replies
29K Views
WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria. Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
509 Views
Ukifuatilia nchi nyingi za Africa utagundua watawala au wale walioshikilia madaraka ni watu wenye uwezo mdogo sana kulinganisha na wale walio nje ya madaraka au raia wengine wasiojihusisha na...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani...
0 Reactions
8 Replies
857 Views
Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu...
2 Reactions
3 Replies
607 Views
Kuna baadhi ya Nchi tunaweka nazo urafiki ila hazina maana Wala Msaada Kwa Tanzania. Nchi kama Russia/Urusi kuwa nayo urafiki ni hasara kuliko faida.. Marekani Imewekeza Takribani Tilioni 11...
31 Reactions
529 Replies
25K Views
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show. Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi...
22 Reactions
98 Replies
10K Views
Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbunge Dkt. Paulina Nahato Awafunda Wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Dar es Salaam Mbunge wa Viti Maalum aalum Anayewakilisha Makundi ya Wasomi nchini wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Mhe. Dkt. Paulina...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Salaam ,Shalom!! Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maeneo mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji, Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia...
1 Reactions
8 Replies
644 Views
Back
Top Bottom