Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema;

"Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa."

Moja ya watu waliotoa maoni yao leo kwenye mkutano huu ni Mzee John Cheyo aliyekuwa anapiga suala la kutoa elimu ya katiba kwa mara nyingine, akisema,

"kazi iliyofanywa tayari kwenye issue ya katiba, tuitumie. Na haikuja bure. Tumetumia mapesa kibao. Mimi nilikuwa mbunge wa Bunge la Katiba; tumekula hela nyingi. Leo tunazitupa ndani ya dustbin! Na Rais aliyepo alikuwa Makamu Mwenyekiti na tulipiga kura pamoja.

"Tukubaliane, kamati ndogo iende ikazungumze na Rais tupunguze hiyo miaka mitatu ya kupata “degrii” ya Katiba, ili tuanze yale yanayowezekana yafanyike mara moja.

"La mwisho, wanaotengeneza hizo sharia wazilete kisheria hapa kwenye kikao kama hiki kwasababu sisi ndiyo wenye ajenda. Ukipeleka kule yatakayotokea mtashangaa mwishoni mmepata kitu cha namna gani."

Ujumbe umefikishwa vizuri kabisa kwa team kasuku na chawa wanaotumia dk kadhaa kushukuru kunusurika kulimwa na panga kwenye 'mkeka wa mama'
 
Haya ni maneno mazuri lkn yatabakia kuwa maneno tu.

CCM hawataki katiba mpya iliyo bora kwasabb wanafahamu kuwa itawaondoa asubuhi na mapema.

Bila KUCHAPANA tusahau kuhusu katiba mpya.
 
200% correct! Tanzania inahitaji akina Doumbaya na Traore Ili Hawa wezi wote walioiba pesa za KATIBA wanataka kurudia zoezi wapigwe mijeredi
 
Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema;

"Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa."

Moja ya watu waliotoa maoni yao leo kwenye mkutano huu ni Mzee John Cheyo aliyekuwa anapiga suala la kutoa elimu ya katiba kwa mara nyingine, akisema,

"kazi iliyofanywa tayari kwenye issue ya katiba, tuitumie. Na haikuja bure. Tumetumia mapesa kibao. Mimi nilikuwa mbunge wa Bunge la Katiba; tumekula hela nyingi. Leo tunazitupa ndani ya dustbin! Na Rais aliyepo alikuwa Makamu Mwenyekiti na tulipiga kura pamoja.

"Tukubaliane, kamati ndogo iende ikazungumze na Rais tupunguze hiyo miaka mitatu ya kupata “degrii” ya Katiba, ili tuanze yale yanayowezekana yafanyike mara moja.

"La mwisho, wanaotengeneza hizo sharia wazilete kisheria hapa kwenye kikao kama hiki kwasababu sisi ndiyo wenye ajenda. Ukipeleka kule yatakayotokea mtashangaa mwishoni mmepata kitu cha namna gani."

Ujumbe umefikishwa vizuri kabisa kwa team kasuku na chawa wanaotumia dk kadhaa kushukuru kunusurika kulimwa na panga kwenye 'mkeka wa mama'
Huyu mzee ingawa anajulikana chawa wa serkali ya Ccm,lakini Leo kaongea hekima ambayo ni ya kufunga mwaka
 
Back
Top Bottom