Uoga wa CCM na darasa la watu Mil.62 kwa miaka 3 kusomea katiba

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Nchi hii ina MAAJABU,

Tunatarajia kuwa na DARASA la Watu MIL.62 kwa Muda wa Mìaka 3 kusomea KATIBA haya ni MAAJABU MAKUBWA kupata kutokea.

KATIBA ILIYOPO hakuna hata MTANZANIA mmoja alienda DARASANI kupewa ELIMU lakini imetumika kwa MIAKA 62 na kwanini hii KATIBA TUITAKAYO SASA ndiyo Wananchi WAISOTEE kwa Miaka 3? HUO ni UOGA wa CCM wa KUCHELEWESHA Upatikanaji wa KATIBA MPYA.

WANANCHI hatuta kubali kamwe TUNATAKA KATIBA MPYA BILA MASHARTI
Kuna Maswali najaribu kujiuliza
1. MASOMO yatatolewa wapi na NANI maana WATANZANIA wote Hatuna ELIMU ya KATIBA
2. NANI atalazimika kuhudhuria hayo MASOMO
3. TUTAHITIMU vipi haya MASOMO tutapewa DIGRII au Diploma?
4. VIPI watakaoshindwa KUHITIMU itakuwaje?
 
Back
Top Bottom