MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Rais wa Awamu ya 4 na Mwenyekiti wa CCM Alianzisha Mchakato wa kuwapatia WATANZANIA KATIBA MPYA na hoja KUBWA ikiwa ni Kutokana na Mambo mengi Yamebadilika yanahitaji pia Mabadiliko ya Kikatiba.
TUME ya JAJI WARIOBA iliundwa na kutoa Elimu na kukuaandaa Mchakato kutoa Elimu kukusanya MAONI na MAPENDEKEZO na kupatikana kwa RASIMU ya KATIBA iliyopelekwa Kwenye BUNGE la KATIBA.
BUNGE la KATIBA likaundwa na Bahati nzuri RAIS SAMIA alikuwa MAKAMU MWENYEKITI wa BUNGE la KATIBA hatukusikia kuambiwa Kwanza ELIMU ya KATIBA ITOLEWE bali Vikao Viliendelea mpaka BUNGE lilipofika KUSHINDWA kutupatia KATIBA MPYA
MAGUFULI alipoingia licha ya CCM kuwa na Ajenda ya KATIBA MPYA ktk ILANI ya CCM bado ALIKATAA Kuendeleza MCHAKATO wa KATIBA MPYA ulipoishia kwa Madai kuwa Sio KIPAU MBELE wakati CCM ndio ilianzisha MCHAKATO chini ya MWENYEKITI KIKWETE.
RAIS SAMIA alipoingia nae hukutaka Kuendeleza lipoishia BUNGE la KATIBA BUNGE ambalo alikuwa MAKAMU MWENYEKITI badala yake Aliturudisha NYUMA ZAIDI kwa Kuunda KIKOSI KAZI ETI KIKUSANYE MAONI tena sio ya WANANCHI wote bali ya Baadhi kazi ambayo TUME ya WARIOBA ILIIFANYA kwa KUGAWA Nakala za KATIBA NCHI nzima na VIPEPERUSHI.
Kujichanganya kwa CCM leo wanasema ETI Wananchi Wapate ELIMU wakati WANAJUA kiuhakika kuwa TUME ya WARIOBA iliifanya KAZI hiyo.
Wananchi tunataka KATIBA MPYA sasa Kwani ELIMU TUNAYO
CCM iache KUCHELEWESHA Upatikanaji wa KATIBA MPYA.