Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

Inawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.
 
Kumshambulia au kumkashifu mtu kutumia ulemavu wake ina ukakasi sana.

Nafikiri hekima iwe taa inayo angaza njia yako ya maisha ya Kila siku hapa duniani. Hujafa hujaumbika,muda wowote unaweza kukosa jicho ukaona afadhali mwenye makengeza(malyenge).

Unaweza pigwa risasi bila kutegemea.

Hizo siasa zinapita tusisahau kuna kesho.
 
Inawezekana maana katika maisha haya usimuamini kabisa mtu mwenye malyenge I.e macho kama yale ya Mbowe na Kova. Hawaaminiki kabisa pia yule mwingine ana uchungu na Roho ya malipizi baada ya damu yake kumwagika pale Dodoma so anataka na damu ya watanzania wengine zimwagike.
Wenye kauli hizi always huwa ni kula kulala wanakaa kwa shemeji au kwa uncle.
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ต๐ŸŒŸ๐Ÿผ
Aahaaa
 
nijuavyo tundu lisu na samia wote ni wamoja wana ajenda moja, wametoka mbali, wote ni wakenya na warwanda na zanzibar pia if you know what i mean sijui khs mbowe, lkn kama kuna usaliti wowote dhidi ya chadema culprit ni tundu lisu โ€ฆ
 
uko sahihi ndugu ubalikiwe pia ulimi au mdomo ni kiungo kidogo dana ila ni hatari
Uko sahihi ila hawa wanafanya mikutano ya hadhara ya kudai katiba mpya wanatumia vibaya ndimi zao wanakashifu mpaka marehemu. Mapenzi ya Mungu atimize juu yao.
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni...
Ni bora waliogawanyika vipande viwili,hao wanangu kubwa mno bado,je vipi waliogawanyika vipande 100 na ushee wao wanangu kiduchu kiasi gani,hata pale wanapoazima nguvu wa wale wasio na weledi kwenye lolote ๐Ÿค”
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono
Huyo aliyesema hivyo ni mpumbavu na ni chama chake ndiyo kiko vipande vipande. Tunampuuza na kumdharau sana
 
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni

Kiufupi Chadema si Wamoja tena

Je,kuna Ukweli wowote?

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ต๐ŸŒŸ๐Ÿผ
Wabunge 19
 
Back
Top Bottom