2025-2030 Rais Samia atakabiliwa na usaliti ndani ya CCM na Hoja za wapinzani

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Kama ilivyokuwa wakati wa mwisho wa utawala wa kikwete ,kugeukwa wabunge na watu wenye nguvu ndani ya CCM maana Kwa sasa wameweka vichwa chini kusubilia teuzi hasa UBUNGE 2025 (wanaogopa kukatwa)

Makovu ya uchaguzi wa 2025 yatakuwa dhahiri huku kukiwa na wakosoaji wa Samia walioenguliwa kwenye kura za maoni kama alivyosema Mzee kinana kuwa kupata kura nyingi sio kigezo watakukata tu .

Madeni mengi ya kitaifa yatakuwa yamepevuka (matured) na deni kuwa Kwa kasi huku fedha za kigeni kukosekana kabisa .

Ukosefu wa ajira na kutokukamilika Kwa upatikanaji wa katiba litaleta msisimuko wa kutowajibika kwa Rais Samia.

Uzembe kazini rushwa kubwa kwenye miradi ya serkali ambayo itakuwa haijakmilika licha ya kutoa pesa itakuwa hatari kwake .

Mawaziri walioenguliwa kwenye baraza tangu mama aingie madarakani watakuwa mwiba wakijiandaa na ndoto zao za kugombea Urais hata nje ya chama huku mwito wa upinzani ujiwaita wajiunge .

Miradi ya kimkakati ya magufuli kama bwawa la umeme na treni litakuwa Bado sana na kuzua maswali huku hasara za ATC kuwa mama ameshindwa hata kusimamia .

Karibu 2025-2030

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Hayo mambo ni ya kawaida kwenye CCM na kila mmoja anategemea hivyo, lakini be assured Samia atapita. Waambie tu waanze kujipanga kwa 2030.

Watu wanamchukulia Rais Samia kirahisi sana kwa namna ya haiba yake ya upole na kutofoka. Lakini nawahakikishia kuwa Samia ni longtimer kwenye gemu za siasa na yuko matured.

Na kisiasa yuko vizuri kuliko Magufuli ambaye aliamua kuiba uchaguzi wote wa 2020.

CCM itapoteza majimbo mengi kwa upinzani maybe hata 40% lakini Rais wa 2025 ni Samia hilo usiwe ma wasi wasi kabisa.

Hivyo vitu unavyodhani Samia haja perform ni vichache na vya kawaida, lakini kuna mengi sana aliyofanikisha ambayo yanawagusa watu wa chini moja kwamoja.

Sioni upinzani wa kuweza kumshinda Samia kwenye sanduku la kura. Wala usitishike na hizo tantalila za akina Tundu Lissu. The more Tundu Lissu anavyoropoka the more anazidi kuji expose udhaifu wake
 
Kipindi hicho Samia hatakiwa na Cha kupoteza labda hofu ya kuambiwa chama kitakufia wewe.

Sasa chama kinaweza kumfia Kiongozi kama anakabiliwa na kashfa za Kisiasa kama awamu ya JK ila Kwa Samia sioni.

Shida Rais Samia ni liberal anatamani kufanya makubwa ila bahati mbaya Yuko kwenye chama Cha Wahafidhina na Nchi ya Wajamaa,ukilazimisha lazima wakulige fitina,ambacho Hawataki achana nao.

Kuongoza hii Nchi ni rahisi sana watu wanataka ufoke,upige propaganda ,ufanye maigizo ya vituko na uwe unawachangia changia vihela na mambo madogo madogo kama hayo ndio maana Jiwe pamoja na kuharibu maisha ya wengi Bado wanamuona Shujaa eti Kwa sababu alikuwa anatishia nyau.

Ila ukija kwenye uhalisia unakuta Samia kafanya mambo mengi mazuri but Kwa sababu ya mtindo wake wa siasa wapotoshaji Wana win jukwaa Kwa sababu hafanyi hayo niliyoeleza hapo Juu.

Hii ni Nchi ya wajinga na mbumbumbu,kuleta uzungu ni shida,siasa zake za Ustaarabu zilifaa Zanzibar ila huku Kwa wavuta bangi na maskini wa na Mali ni shida tupu.

Mwisho wakijifanya wanamsaliti hawamkomoi Samia Bali wao maana yeye atakuwa Hana Cha kupoteza Bali anamalizia Ngwe yake so lazima washike hatamu kupogania chama Chao.
 
Siku kwenye politics ni ndefu sana
 
Angalizo muhimu lipo katika wimbo wa msanii maarufu kuhusu uamuzi wa kutakiwa mtu kuufanya ili kuchagua uamuzi sahihi na wenye tija kati ya kada wa CCM na andazi.
 
Kama ilivyokuwa wakati wa mwisho wa utawala wa kikwete ,kugeukwa wabunge na watu wenye nguvu ndani ya CCM maana Kwa sasa wameweka vichwa chini kusubilia teuzi hasa UBUNGE 2025 (wanaogopa kukatwa)

Makovu ya uchaguzi wa 2025 yatakuwa dhahiri huku kukiwa na wakosoaji wa Samia walioenguliwa kwenye kura za maoni kama alivyosema Mzee kinana kuwa kupata kura nyingi sio kigezo watakukata tu .

Madeni mengi ya kitaifa yatakuwa yamepevuka (matured) na deni kuwa Kwa kasi huku fedha za kigeni kukosekana kabisa .

Ukosefu wa ajira na kutokukamilika Kwa upatikanaji wa katiba litaleta msisimuko wa kutowajibika kwa Rais Samia.

Uzembe kazini rushwa kubwa kwenye miradi ya serkali ambayo itakuwa haijakmilika licha ya kutoa pesa itakuwa hatari kwake .

Mawaziri walioenguliwa kwenye baraza tangu mama aingie madarakani watakuwa mwiba wakijiandaa na ndoto zao za kugombea Urais hata nje ya chama huku mwito wa upinzani ujiwaita wajiunge .

Miradi ya kimkakati ya magufuli kama bwawa la umeme na treni litakuwa Bado sana na kuzua maswali huku hasara za ATC kuwa mama ameshindwa hata kusimamia .

Karibu 2025-2030

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
2030 mbali sana. Ni hapo tu 2025
 
Hayo mambo ni ya kawaida kwenye CCM na kila mmoja anategemea hivyo, lakini be assured Samia atapita. Waambie tu waanze kujipanga kwa 2030.

Watu wanamchukulia Rais Samia kirahisi sana kwa namna ya haiba yake ya upole na kutofoka. Lakini nawahakikishia kuwa Samia ni longtimer kwenye gemu za siasa na yuko matured.

Na kisiasa yuko vizuri kuliko Magufuli ambaye aliamua kuiba uchaguzi wote wa 2020.

CCM itapoteza majimbo mengi kwa upinzani maybe hata 40% lakini Rais wa 2025 ni Samia hilo usiwe ma wasi wasi kabisa.

Hivyo vitu unavyodhani Samia haja perform ni vichache na vya kawaida, lakini kuna mengi sana aliyofanikisha ambayo yanawagusa watu wa chini moja kwamoja.

Sioni upinzani wa kuweza kumshinda Samia kwenye sanduku la kura. Wala usitishike na hizo tantalila za akina Tundu Lissu. The more Tundu Lissu anavyoropoka the more anazidi kuji expose udhaifu wake
Hakuna uhakika wa mgombea yoyote wa CCM kushinda kwa uchaguzi halali. Wanapoiba ama kupora uchaguzi sio kwakuwa wanapenda, bali wakati umeshawatupa mkono. Ikitokea kukawa na uchaguzi wa halali uje utoe mrejesho hapa.
 
Kipindi hicho Samia hatakiwa na Cha kupoteza labda hofu ya kuambiwa chama kitakufia wewe.

Sasa chama kinaweza kumfia Kiongozi kama anakabiliwa na kashfa za Kisiasa kama awamu ya JK ila Kwa Samia sioni.

Shida Rais Samia ni liberal anatamani kufanya makubwa ila bahati mbaya Yuko kwenye chama Cha Wahafidhina na Nchi ya Wajamaa,ukilazimisha lazima wakulige fitina,ambacho Hawataki achana nao.

Kuongoza hii Nchi ni rahisi sana watu wanataka ufoke,upige propaganda ,ufanye maigizo ya vituko na uwe unawachangia changia vihela na mambo madogo madogo kama hayo ndio maana Jiwe pamoja na kuharibu maisha ya wengi Bado wanamuona Shujaa eti Kwa sababu alikuwa anatishia nyau.

Ila ukija kwenye uhalisia unakuta Samia kafanya mambo mengi mazuri but Kwa sababu ya mtindo wake wa siasa wapotoshaji Wana win jukwaa Kwa sababu hafanyi hayo niliyoeleza hapo Juu.

Hii ni Nchi ya wajinga na mbumbumbu,kuleta uzungu ni shida,siasa zake za Ustaarabu zilifaa Zanzibar ila huku Kwa wavuta bangi na maskini wa na Mali ni shida tupu.

Mwisho wakijifanya wanamsaliti hawamkomoi Samia Bali wao maana yeye atakuwa Hana Cha kupoteza Bali anamalizia Ngwe yake so lazima washike hatamu kupogania chama Chao.
Huelewei kabisa maana ya "Liberal"
 
Back
Top Bottom