Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni Bunge la Ujerumani limepitisha mswada wa kuitaka serikali ya Ujerumani itafute njia mbadala ya mradi wa Tanzania wa kuzalisha nishati...
60 Reactions
783 Replies
96K Views
Wanadau wa JF na wa RMF 1. Nashukuru kwa wale wachache ambao mpaka sasa wamekuwa active katika kutoa maoni yao na michango kwa njia mbalimbali. Ikumbukwe kuwa baadhi yetu humu tumekuwa...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuongoza nchi si kitendo Cha kusema tumpe nani nafasi tujaribu kuona atafanya nini ila kitendo Cha kuwa na Imani nani kabeba matarajio ya wapiga kura na wananchi Kwa ujumla. Vyama vya upinzani...
1 Reactions
1 Replies
396 Views
Wakuu mambo ni vipi? Leo nilikuwa naomba kuuliza hivi ni lazima kumshukuru mtu ambaye umemuajiri? Wakati anafanya kazi na unamlipa pesa yake? Sikatai mtu kupongezwa Lakini inapozidi inashusha...
4 Reactions
14 Replies
980 Views
Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech. General Speech 1. Mkapa 2. Magufuli 3. JK 4. Mwinyi 5. Samia Speech za mipango na maendeleo 1. Magufuli 2. Mkapa 3. Kikwete 4...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023? Je, mikataba inasaiwa hadharani Tanzania kweli kuna vituko. Sijui ataendelea na mchezo huu huko Mawasiliano. Ni mingapi...
1 Reactions
1 Replies
735 Views
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na...
9 Reactions
59 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la...
1 Reactions
2 Replies
786 Views
Na. M. M. Mwanakijiji... Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Akiwaapisha Viongozi aliowateua Rais Samia amesikika akisema Kwa miaka hii 3 Serikali yake imekopa sana Kwa Ajili ya Huduma za jamii ila Sasa wanaenda kupunguza kukopa. Kwa haraka haraka Kwa mtu...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema tukiruhusu gharama za Uchaguzi zibebwe na mgombea peke yake basi Matajiri wenye fedha watanunua uongozi. Tena Watu Wenye Fedha na Marafiki zao ndio...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Na Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Mheshimiwa Florent Kyombo, akabidhi kompyuta Mbili shule ya Sekondari Bwabuki Ya Kata Kitobo na Shule ya Msingi Lukurungo Kata Bugandika Ofisi ya Mbunge wakikabidhi...
0 Reactions
4 Replies
681 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nilishawaambieni sana humu jukwaani na hata mitaani kuwa Rais Samia anafuatilia sana kila kinachokuwa kinaendelea katika ziara za Mheshimiwa Makonda kijana jasiri kusini...
10 Reactions
85 Replies
5K Views
Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha! Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za...
5 Reactions
11 Replies
660 Views
Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA Hii...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Awamu ya pili ilileta fujo za daladala kwa mara ya kwanza Tanzania, iliruhusu fujo, iliondoa usafiri wa kimpangilio uliokuwepo wa UDA na kuruhusu fujo za daladala. Awamu ya 4 iliruhusu bodaboda...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao: “Mkitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Back
Top Bottom