sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Tunaendelea kuchambua kauli za Rais za siku za hivi KARIBUNI akiwa mbele ya wadau wa Demokrasia.
Mh. Rais ulisema juzi yakuwa sisi watanganyika na watanzania ya kuwa hatujui katiba mpya mpaka tupewe elimu,
Nauliza swali dogo, wazanzibari waliandika katiba yao hivi majuzi. Je, kama mlitangulia kupewa elimu je wewe kama mzanzibari una cheti cha kuhitimu mafunzo?
Je, ulisomea wapi?
Mwalimu wako alikuwa Nani?
Je, ulipata maksi ngapi?
Je, wajua Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema Zanzibari sio nchi lakini katiba mpya ya sasa ya Zanzbari inaitambua Zanzibari yakuwa ni nchi?
Je, wajua katiba ya Zanzbari imevunja mamlaka ya Mahakama ya Rufaa?
Mh. Rais Sisi tusiojua katiba ndio tuliovumilia wewe uwe Rais kupitia katiba hiyo hiyo tusiyoijua.
Mh. Rais Wazanzibari hawakupewa elimu walipewa Katiba
Tanganyika hutaki kutupa katiba eti kisa hatuna elimu?