Na, Robert Heriel
Je, sisi ni watumwa?
Je, sisi ni Mateka? Nauliza sisi ni misukule?
Ukiambiwa viwanda vimejengwa, uliza swali hili je kimeajiri wafanyakazi au watumwa?
Mada hii ni chungu, kama...
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.
Ni ushamba...
Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali. Fedha zote zinatunzwa Wizara ya Fedha. Zinatolewa Wizara ya Fedha kwa utaratibu uliokubaliki Waziri wa fedha akiwa na taarifa. Fedha zinaenda...
Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na...
Salaam,
Kuna Mama Mjane wa Tegeta Aliye Ililia Serikali ya Awamu ya Tano Kumsaidia ili Kuokoa Nyumba Yake Inayotaka Kuchakachuliwa na Kibopa!
Imefikia Kibopa Huyo Kuchimba Shimo la Choo Mbele ya...
Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana!
Shalomu Tanzania!
Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa...
Mheshimiwa Rais,
Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali...
Habari hii haikuandikwa na vyombo vingi vya Habari. Mwezi March mwaka huu (2021) Kulikuwa na ndege aina ya Airbus A380-800, ilikuwa inasafiri kutoka Tanzania kwenda Tanzania Mpya . Ndege hii...
Mbunge wa Lushoto mjini Shaban Shekilindi almaarufu Boznia anahusishwa na tuhuma za kufanya njama ya kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Lushoto Mbaruku Matei.
Kuhusishwa kwa...
King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.
Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna...
UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula...
Nitaandika Kwa kifupi Tu.
Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete.
Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona...
Rais Samia ameendelea kuibeba na kuipeperusha ajenda ya Ukombozi wa Wanawake.
Akizungumza kwenye sherehe za kiximkazi Day amezitaka taasisi zote za Umma kuhakikisha wanawake wapewa nafasi za...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi...
KUELEKEA miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, akiwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu hapa nchini, mkazi wa Dar es Salaam, Lucas Emmanuel amesema kuna haja akaandaliwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati...
Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika?
Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Tabata, mbele ya Umati mkubwa wa Wananchi, Tundu Lissu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Amesema kwamba, Nchi ya Tanzania bado inatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.