Bado tuna mawazo ya Kijamaa (Socialism)

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Ujamaa ulijikita katika serikali kukumbatia kila kitu. Bado tuna mawazo hayo na sijui lini yataondoka. Wapo wanaojitutumua kuwa na mawazo tofauti na ya Kijamaa, lakini ukweli ni kwamba bado ni wajamaa.

Prof Shivji ni mjamaa. Namheshimu sana, ila bado yupo nyuma ya wakati. Bado anawaza kijamaa.

Watanzania wengi bado tunawaza kijamaa na ndio maana hata mfumo wa vyama vingi tuliupokea kinyonge na hata sasa bado tunaona kama vyama pinzani ni uadui. Kila mtu tunataka awe CCM.

Issue ya DP World bado ni mawazo yale yale ya kijamaa. Kwa nini Bandari apewe mwekezaji? Kama tulivyohoji miaka ya 1997, kwa nini NBC apewe mwekezaji?

Sasa matunda ya uwekezaji tunayaona. Tusubiri matunda ya DPW
 
Mawazo ya Kijamaa ndio yepi?
 
Tafadhali acha uandishi wa kichawa! Nyie ndio wapotoshaji san kweny issue ya DP world! Hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji.. Facts zao zipo wazi dhidi ya baadhi ya vifungu virekebishwe!! Kidampa wew!!
 
Back
Top Bottom