Rais Samia ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Mabadiliko ya TabiaNchi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,515
8,415
1694522009413.png

Uteuzi wa Rais Samia uliwasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi (GCA) Ban Ki-moon wakati walipokutana Kenya kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliohusu Mabadiliko ya TabiaNchi

Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni Rais wa Senegal, Macky Sall, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinumwi Adesina na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Fedha kutoka IMF, Kristalina Georgieva

GCA ni taasisi inayosimamia masuala ya Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi ambapo hadi sasa imewezesha upatikanaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 125 ambazo Tanzania itakuwa kati ya Wanufaika kwa miaka 3 ijayo.
 
Hawa Jamaa hawajitakii mema, dalali wanaenda kumpa wadhifa tena. Badala kuangalia tabia nchi atauza nchi za wenzie. Wasubiri bendera zao zionekane kwenye Burj Khalifa tu.
 
Angalia asijeakakiuza hicho kituo kwa DPW
NDUGU YANGU RAIS WAKO NI NCHI YAKO ,TUMSHUKURU MUNGU KWA KUMUWEKA SAMIA TUSIWE KAMA WANA WA ISRAEL , TUMPE MOYO WA USHIRIKIANO RAIS WETU , AMERUHUSU AJIRA KWA WATANZANIA NA ANAZIDI KUWEKEZA ILI TUPATE AJIRA ZAIDI , TUPENDE VYA KWETU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kwenda kule FaizFoxy!
Kavae vizuri hijabu yako!
Lakini, hijab ni alama ya mkakati wa usilimishaji na uarabishaji wa dunia na haya mawili hayana nafasi Tanzania.
Ukweli unauma.
Lakini tulia sindano ikuingie!
Mama'ke Yesu ndiye alitusilimisha, sijamuona bila hijabu.

1 Wakorintho 11:6 BHN​

Mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

BHN: Biblia Habari Njema
 
Soma hivi:

Mwanamke [wa Kikorintho] asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

Sisi sio Wakorintho na ndio maan wanawake wote hawatii kifungu hiki.

Ova
 
Unaibadili biblia kwa matamanio yako? Dah, pole sana, "kila mwanamke":

5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
 
Huyo ni atheist.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2746933
Uteuzi wa Rais Samia uliwasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi (GCA) Ban Ki-moon wakati walipokutana Kenya kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliohusu Mabadiliko ya TabiaNchi

Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni Rais wa Senegal, Macky Sall, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinumwi Adesina na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Fedha kutoka IMF, Kristalina Georgieva

GCA ni taasisi inayosimamia masuala ya Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi ambapo hadi sasa imewezesha upatikanaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 125 ambazo Tanzania itakuwa kati ya Wanufaika kwa miaka 3 ijayo.
So what?
 
Back
Top Bottom