Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi.
Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni suala la kisiasa.
Siku za hivi karibuni kuna ile kesi ya kina mdee dhidi ya CHADEMA, kesi inaburuta Miguu mwaka Wa tatu sasa.
Kinachoonekana Sasa ni kuwa mahakama ni kama inasubiri maelekezo toka tawi la Utawala iamue nini kwenye kesi hiyo ambayo hata mtu wa mtaani asiyejua kabisa Sheria angeweza kuwa tayari ameshafanya uamuzi.
CC:
Rostam Aziz.