Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

Hilo la kofia ya Mwenyekiti na Raisi vikitenganishwa then kutakuwa na political stability. Maana sio CCM wote wanakubaliana na fikra za mwenyekiti ambaye ndiye Commander in Chief.
 
Hio inasaidia kuondakana na Marais vilaza na wala rushwa na wasaliti
 
Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama.

Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali.

Nawasilisha.
kuna chama mtu alipoteza maisha kwasabb ya kumezea mate nafasi ya mwenyekiti wa Chama .....unafaa nchezo nini?
 
Kama mgombea ni tuna’s mdhania itakua shida sana kuuza sera kwa wananchi.
 
Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama.

Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali.

Nawasilisha.
Kwani lini ulikatazwa?
 
Back
Top Bottom