Kipaumbele huwa nini baadhi ya taasisi za Serikali kupata pesa haraka, nyingine kuchelewa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
JF hakuna jibu linakosekana humu ndani watalaam wa mifumo yote ya Serikali wanaijua sasa mimi napenda kusimuliwa juu ya mchakato wa kuzipatia pesa za matumizi ofisi za umma kwa ajili ya activities mbalimbali hasa ofisi ambazo hazipo chini ya Tamisemi nazisemea hizi za Serikali kuu.

Point yangu nirahisishe ili nieleweke kwa mfano mwaka mpya wa fedha si taasisi zinaletewa mafungu, sasa je hizo fedha kipaumbele hasa ni huwa nini kinachotofautisha taasisi fulani iletewe haraka na nyingine ichelewe au mafungu yakitoka yanatoka yote kwa ujumla, ipoje hii?
 
Utumishi wa Umma ni mahali pa Kujitoa Kwa ajili ya Jamii sio mahali pa kutafuta Utajiri, ndugu yetu unaonekana Utumishi wa umma ulionao kama mahali pa kupata Utajiri, utaumia...
Sasa kusoma shule uteseke na kwenye kazi uteseke? Maana unatumwa na Serikali lengo uwe mbobezi zaidi wa kazi yako sasa kama hamna kazi je si kuzeeshana kwa stress na kupeana ukichaa.Extrovert
 
Utumishi wa Umma ni mahali pa Kujitoa Kwa ajili ya Jamii sio mahali pa kutafuta Utajiri, ndugu yetu unaonekana Utumishi wa umma ulionao kama mahali pa kupata Utajiri, utaumia...
Dogo atumie hata mshahara wake kuendesha ofisi
Anataka kuwa tajiri Kama rostitamu la igungahh kupitia ofisi ya umma?
Hajala kiapo Cha maadili ya utumishi wa Umma?
 
Back
Top Bottom