Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu. Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwanza naunga mkono na miguu hoja ya Makampuni wa pili wa Rais Zanzibar kutoka ACT bwana Masoud Othman. Wakati sheria ya ugatuaji madaraka inaanzishwa ilikuwa na lengo la Kupeleka mamlaka ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa...
14 Reactions
315 Replies
45K Views
Wanabodi, Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za nchi hii, na haswa harakati za kumpata mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM, kumekuwa kukitokea mambo mengi ya kufurahisha...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Kama alivyosema Jokate ni muda muafaka Sasa wanawake kuchagua mwanamke mwenzao sio tuu Kwa sababu ni mwanamke Bali Kwa sababu ana uwezo na ameonesha. Toka Akiwa VP ,Rais Samia ndio Rais pekee...
2 Reactions
115 Replies
4K Views
MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Rais Samia amemtumia Salam za kheri ya kutimiza miaka 11 ya Upapa Baba Mtakatifu Papa Francisco Rais Samia pia amemshukuru baba Mtakatifu Papa Francisco kwa kumualika Vatican Mwezi uliopita...
1 Reactions
9 Replies
657 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kimeingia katika historia ya kipekee Tanzania baada ya mara ya kwanza kwa chama hicho kikongwe kushindwa kumuweka hadharani mgombea wake wa urais kwenye uchaguzi mkuu...
5 Reactions
48 Replies
8K Views
Katika Gazeti la MwanaHalisi la leo kuna taarifa yenye kichwa cha habari KIKWETE KUFURU, kwamba wakati wa utawala wa JK kulikuwa na tabia ya kufuja pesa za walipa kodi kwa njia za FEDHEHA. Katika...
7 Reactions
321 Replies
38K Views
Katika lugha ya picha, hutumika vitu au hata baadhi ya viumbe au wadudu kuelezea mahusiano ya mwanadamu na wanadamu wenzake: Ndiyo maana huwa kuna misemo kama, 'pete na kidole', kuelezea urafiki...
3 Reactions
7 Replies
722 Views
Kweli wahenga walisema FADHIRA MFADHIRI MBUZI BINADAMU ATAKUUDHI, yaani kujitoa kote kule kwa Lowasa na Rostam kuzunguka nchi nzima kwa fedha zao kumnadi Kikwete kabla ya kikao cha uteuzi na pia...
4 Reactions
114 Replies
16K Views
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi amejibu baadhi ya hoja za watu wanaopendekeza muundo wa serikali mbili na kusema Serikali ya Zanzibar ndiyo iliyoanza...
9 Reactions
75 Replies
15K Views
UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi?? 1.Strogersgorge:2100MW rufiji.. see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge —...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya...
15 Reactions
195 Replies
34K Views
Wanabodi, Kadri siku zinavyokwenda, ndivyo Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli anavyozidi kuzikonga nyonyo za Watanzania, wanaopenda reality, simplicity, genuinely na down to earth, ndivyo...
16 Reactions
161 Replies
21K Views
Wanabodi, Kupitia live ya TBC kutokea Lindi kwenye Kongamano la Kumuenzi Baba wa Taifa, Getrude Mongela Amethibitisha yeye ni Mwanamke wa Shoka, Alipaswa hata Kuwa Rais wa JMT, Kwa Jinsi Alivyo...
17 Reactions
75 Replies
7K Views
Wanabodi, Angalizo Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapopongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais...
38 Reactions
249 Replies
71K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikimuangalia na kumfuatilia Rais na jemedari wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
1 Reactions
70 Replies
3K Views
Rais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom