Burkinabe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,896
- 3,206
Hi JF Members,
Rejea mada tajwa hapo juu, yahusika.
Kusudi la kuandika article hii, ni kuwaelimisha wanasiasa na jamii kwa ujumla kutokuwafanyia wengine vile ambavyo wao wenyewe hawapendi kufanyiwa.
Sheria za asili zinasema yafuatayo:
1. Chochote unachofanya lazima kitakurudia (What goes around, comes around)
2. To every reaction, there is equal and opposite reaction
3. Utavuna ulichopanda n.k
Hivyo ukiona unatukanwa, basi ujue kuna mtu au watu uliwahi kuwatukana.
Ukiona unapigwa vijembe au watu wanakunanga au kukusimanga na wewe ujue kuna mtu au watu huwa unawafanyia au uliwahi kuwafanyia hivyo.
Ukiona unadharauliwa mpaka na mbwa wako, ujue na wewe una dharau!
Ujumbe wa kuondoka nao hapa ni kwamba, tuwatendee binadamu wenzetu vile ambavyo sisi tunapenda kufanyiwa na yale tusiyopenda kufanyiwa basi tusiwafanyie na wengine.
Tujifunze kuvaa viatu vya watu wengine.
Huu ndio ukweli na ukweli ni ukweli na utabakia kuwa ukweli haijalishi huo ukweli umesemwa na nani.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tubariki Watanzania.
Ahsanteni sana.