Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Posted Date::2/9/2008 Viongozi wastaafu, wapinzani wamshauri kwa Rais Kikwete Na Andrew Msechu Mwananchi RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wameshauriwa kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapinzani wanena na Peter Nyanje, Dodoma Tanzania Daima WAKATI Rais Jakaya Kikwete akikuna kichwa kuhusiana na muundo wa Baraza la Mawaziri analotarajia kuliundwa upya, kambi ya ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima Mbele wana Bodi,Nimekaa nikifikiria ni kwanini mpaka sasa ,Mheshimiwa Yusuph Makamba ambaye ni katibu mkuu wa chama Tawala ,mpaka muda huu hajatoa tamko kuhusu Tuhuma za Ufisadi za ukweli...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ANAONEKANA ANA UCHUNGU NA NCHI YAKE
0 Reactions
16 Replies
8K Views
  • Closed
Kuna usemi kuwa watu wa usalama wa taifa huwa hawastaafu mpaka wanapokufa. Kutokana na yanayoendelea Tanzania ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vimehusishwa na kashfa zinazoendelea karibuni za...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
na Mwandishi Wetu JARIDA maarufu la The Economist, kwa mara nyingine tena limefanya tathmini yake kuhusu mwelekeo wa kiuchumi wa Tanzania na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika kipindi cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pamoja na mabadiliko ya mawiziri ambayo tunayatarajia, pia mfumo wa utendaji kazi serekalini unahitaji mabadiliko makubwa. Mpaka sasa mfumo wa utendaji kazi serikalini, kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JAMANI Nafikiria na kufaraki kuhusu hili sakata la aibu na uzalendo wa kifisadi dhidi ya nchi yangu na watu wake. Ni kweli kwamba sasa hata mkulima kijijini ameshagundua kwa nini gharama za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana katika kikao cha bunge, wachangia hoja waliopata nafasi waliwapongeza Lowasa, Karamagi na Msabahaa kwa uamuzi wao wa kujiuzuru. Kwa upande wangu sikuona sababu ya kuwapongeza watu ambao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
..kwa sababu imeenda kutembelea Kiwira Coal Mining inayomilikiwa na Mkapa na Daniel Yona katika mazingira ya kutatanisha basi ni lazima wawahoji Mkapa na Yona ni vipi waliweza kumiliki mgodi huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kufuatilia mihangaiko ya Mh.Kikwete nimeona zile safari safari zake zilikuwa na lengo la kuwapa mwanya Mawaziri na alikuwa akipima uwezo wao wa kufanya kazi bila ya kuwepo yeye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunge Wa Moshi Mh. Ndesamburo Ameomba Mwanasheria Mkuu Na Mkurugenzi Wa Takukuru Wawajibishwe Pia, Na Kwamba Hili Ni Dili Limefanyika Na Ameomba Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Kwa Wahusika Wote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ebwana eehh hapa JF kama unavyojua kama server iko chini wengine hatuna pa kwenda Nimejaribu kwenda KLH news nimeona hakuna forum sasa ushauri wangu wewe unganisha LKH news na GUMZO ili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kusikiliza mahojiano ya Rais na waandishi wa habari wiki iliyopita. Cha kushangaza ni kuwa magazeti yaliandika kuwa Rais kasema "silivunji baraza" au "havunji Baraza" n.k Ukweli...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Baada ya hekaheka ya pale Bungeni Dodoma naona huu ni wakti mzuri wa kukaa kitako na kuunda baraza jipya la mawaziri tena dogo lenye idadi ndogo ya mawaziri na manaibu. Halafu pia naona raisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya kumekucha jamani, baada ya jana pirika za kuipitia ripoti ya RICH-MONDULIS leo ni siku nyengine ya kuijadili. Mliopo DODOMA tuleteeni DATA kunani HUKO? Mheshimiwa Spika, kutokana na madai...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakati wa sakata la zito kuhusu Buzwagi, viongozi wa serikali kuanzia rais, waziri mkuu na wengine kibao walizunguka nchi nzima wakitetea kwamba mkataba ni mzuri hauna shida. Sasa leo wanasema...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
HOFU YANGU NI MSIMAMO WA CHAMA KUTAWALA WAKATI WA MAJADILIANO Wabunge CCM wajipaga kuikabili joto la Kashfa ya Richmond Na Tausi Mbowe, Dodoma SOURCE: MWANANCHI WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bunge limeanza sasa na Sitta asema kwa nini amevunja safari ya Marekani .Kasema alialikwa chakula huko kwa mujibu wa taratibu za US. Pia ameomba radhi kwa kumtumia neno Kukurupuka na yeye...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
CAPE TOWN (Reuters) - Barrick Gold Corp. (ABX.TO: Quote), the world's biggest gold miner, said on Tuesday it expected its Buzwagi gold mine in Tanzania to be in production next year at a cash cost...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom