Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,502
- 156
Heshima Mbele wana Bodi,Nimekaa nikifikiria ni kwanini mpaka sasa ,Mheshimiwa Yusuph Makamba ambaye ni katibu mkuu wa chama Tawala ,mpaka muda huu hajatoa tamko kuhusu Tuhuma za Ufisadi za ukweli alizopata WAziri Mkuu aliyefukuzwa kwa kudhalilishwa,kuaibishwa na kuonewa sana ,ndugu Lowassa,Je anasimamia upande upi?na kwanini asimfute uanachama ndugu Rostam Aziz
au ndio mambo yake ya ushabiki kwa Viongozi wezi na wanaoihujumu uchumi?kumbuka alivyowahi kumtetea Manji.na mpaka sasa hajampongeza ndugu Pinda.
au ndio mambo yake ya ushabiki kwa Viongozi wezi na wanaoihujumu uchumi?kumbuka alivyowahi kumtetea Manji.na mpaka sasa hajampongeza ndugu Pinda.