Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 816
Mbunge Wa Moshi Mh. Ndesamburo Ameomba Mwanasheria Mkuu Na Mkurugenzi Wa Takukuru Wawajibishwe Pia, Na Kwamba Hili Ni Dili Limefanyika Na Ameomba Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Kwa Wahusika Wote.
Amesema Madhambi Yaliyofanyika Ndiyo Yaliyochangia Kupanda Kwa Bei Ya Umeme Na Lazima Kitu Kifanyike, Na Kiongozi Yeyote Mwenye Madhambi Na Ana Kimrija Kwenye Dili Hilo Awajibike.
Ametaka Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Na Wahusika Kufilisiwa.