Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Basi katika kufuatilia mambo mbalimbali kuhusiana na uundwaji wa baraza na hasa kuelewa nini kinaendelea baada ya Ripoti ya Mwakyembe kuna mambo kadhaa ambayo naweza kuwahabarisha kwa uhakika...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
No go zone roads named as Bush jets in Dar today Muslim demonstrators burn a US flag during anti-Bush demonstration in Dar es Salaam yesterday. By The Citizen Team Three major roads in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ambassador of Tanzania delivers speech at the University CHIMENE MONTGOMERY Issue date: 11/28/07 Section: News The Lubin School of Business hosted Ambassador Augustine Philip Mahiga of...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
* This Letter was sent to the US Ambassador and also appears in Kiswahili in Tanzania Daima in a condensed form). Mr. Ambassador, In just few hours, the President of the United States Mr...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimelazimika kuandika kidogo hapa kusikia wenzangu mnajua nini juu ya aina hizi ya Ziara za Marais kamam Bush kwenye Nchi masikini .Hii Ziara mimi imeniacha gizani kwa kuambiwa ina faida kubwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shadrack Sagati, Dodoma Daily News; Friday,February 15, 2008 @07:10 WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amekiri kuwa Serikali haikuwajibika ipasavyo ndiyo maana ikaundiwa kamati teule na Bunge...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://www.engadget.com/2008/02/15/wal-mart-to-officially-discontinue-hd-dvd-sales-by-june/ With HD DVD, things are just going from bad, to really bad, to worse, to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ni kweli Kampuni ya RICHMOND NI KAMPUNI HEWA? na kuna fununu kuwa kampuni hii ni yake mwenyewe EL ndio maana akamuandikisha mwanawe aitwae RICHARD na kutumia jimbo analowakilisha Bungeni...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
hivi kweli haya yanaweza kutokea ndani ya nchi yetu? hivi watanzania kudhalilishwa na kugeuzwa panya wa maabara ndani ya nchi yao ndani ya hospitali tunazoziheshimu tena bila ya haya mchana ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni suala lililowazi kuwa uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na watu ambao siwananchi. Angalia majina Bakhresa, premji, dewji, rostam na wapo wengine wengi. Ndio maana kuna skandali kila siku na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mawaziri kivuli watangazwa 2008-02-15 09:21:20 Na Frank Mbunda, Dodoma Kufuatia Rais Jakaya Kikwete, kulivunja Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, Kambi ya Upinzani Bungeni nayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mshangao mkubwa na mtisiko TVT sasa wameacha kutupa habari za Dodoma ambazo zina mambo ya kugusa Taifa .Mjadala wa Richmond sina hakika kama Watanzania wanaweza kuusikia labda iwe...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Jamani kwenye ufisadi si BOT tuu bali hata mamlaka ya hifadhi ya ngoro ngoro. Faida inayopatika kwa mwezi ni zaidi ya shilingi 1billion out of which 6% wanagawana Mhifadhi mkuu na timu yake ya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hivi kwa nini lazima kulipia au kusajili namba upya kama gari lenye ZNZ likishaingia Dar baada ya Miezi 6? Mbona suala hili halilalmikiwi? Zanzibar ni Tanzania lakini kwa nini serikali yetu...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Tukio La Ajabu Angalia Attachment
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ni Made in Tanzania tu! Januari 23, 2008 JOHN Nolan, yule raia wa Ireland aliyejaribu kuighilibu Serikali ya Tanzania imruhusu aanzishe mashamba ya kamba (prawns) ambayo yangeiharibu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Baada ya hekaheka za Richmond Bunge kuendelea na kikao Ijumaa Na Waandishi Wetu, Dodoma BUNGE linaendelea na kikao chake Ijumaa, baada ya kuahirishwa kutokana na mtikisiko wa kuvunjika Baraza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mjadala wa Richmond unashika kasi sasa .Grace Kiwelu akitoa hoja bungeni amesema anaomba wote walio tajwa na kujiuzuru ili kuepusha wao kukimbia Nchi na wapelekwe Mahakamani na pia amemshauri...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana Muungwana alitoa Maneno haya wakati anawaapisha timu mpya ya Mtandao na usajili mpya wa wachezaji wa akiba "Anyone who does not Obey You (PM) let me know immediately and i will act...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Asubuhi hii nilifika kazini nikiwa mchovu baada ya kukesha kwenye simu kujua nini kinaendela kule idodomya. Nilikuwa bado na hasira na uchungu baada ya kufikia hitimisho kuwa Tanzania kuna watu...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Back
Top Bottom