Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 58
Kuna usemi kuwa watu wa usalama wa taifa huwa hawastaafu mpaka wanapokufa. Kutokana na yanayoendelea Tanzania ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vimehusishwa na kashfa zinazoendelea karibuni za madini na wizi wa benki kuu, inatia shaka kuona kuwa nini kitaendelea baada ya Kikwete kuamua kumweka mwanausalama wa taifa kuwa waziri mkuu.
Ifahamike kabisa kwako mzee Mizengo kuwa ukileta vitisho bubu vilivyozoeleka toka kwa watendaji wa idara ya idara ya usalama wa taifa kwa wapinzani wa serikali basi ujue kuwa moto utawaka hapo Tanzania.
Kazi hii inafuatiliwa kwa makini!