Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

katika hali ya kushangaza, leo hii jumuia ya kipelelezi ya marekani(NIE)imetoa taarifa yake rasmi, na kusema kwamba KWA HIVI SASA IRANI haina mradi wa mabomu ya Nyuklia. hata hivyo taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
How soaring car imports choke Dar's road network By Bernard James The Citizen The Tanzanian road system is struggling to cope with soaring car imports, now at more than twice the level of...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete, ameamuru vyombo vya dola vifanye uchunguzi kuhusu gharama halisi za ujenzi wa majengo ya Benki Kuu ya Bongo. Uamuzi huo umetokana na kuwapo kwa tuhuma kibao, kwamba hadi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hawa PCCB kazi imewashinda. Chombo hichi kiliundwa kupambana na rushwa. Pamoja na kuwa rushwa inashamiri Tanzania hakuna lolote wanalolifanya ili kuiondoa rushwa au kuipunguza, sasa wanaenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yule Mbunge aliyesema Pumba Bungeni ambaye alitaka watu walioambukizwa virusi wawekwe alama amepewa siku kumi akutane na waathirika na pia awaombe radhi. Yeye mwenyewe hata hivyo analaumu vyombo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakati chama cha Putin kimejipatia ushindi mkubwa Russia mambo kwa Chavez yameenda tofauti na matarajio ya wengi ikiwemo yeye mwenyewe. Venezuelan President Hugo Chavez has narrowly lost a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwadui diamonds heist: Revealed: Robbers did it with toy guns -Police make six arrests so far -Growing fears of an ’Inside job’ THISDAY REPORTER Dar es Salaam POLICE have released...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena inabidi niukubali ukweli na kumeza uchungu wa kupoteza nafasi ya kuleta mabadiliko nchini. Ni kweli kuwa mimi nimeweka wazi hapa kuwa ni mpinzani wa CCM na sitangojea kwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Majuzi tumepokea salamu za mshikamano kwenye kongamano la wanafunzi lililoitishwa na CHADEMA kutoka kwa mtu anayejiita M.M. Mwanakijiji. Lakini hatukuambiwa kwamba huyu bwana ni nani na ametuma...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Mmoja alipokonywa gari na ofisi KUJIUZULU Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Dk. Idris Rashidi, pamoja na mambo mengine, kunaelezwa kutokana na msuguano wa muda mrefu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
KUna wakati mgodi wa Mwadui ulielezwa kwamba haukua ukiilipa serikali mgawo kutokana na hisa zake.. Sasa sina hakika kama wameanza kulipa na kinachofanyika sasa ni HUJUMA ili mgodi uonekana...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Kumbe CHADEMA haina imani na Zitto! WIKI iliyopita, nilizungumzia kwa kirefu sababu zangu ambazo mimi binafsi niliziona ni za msingi katika suala la kumtaka mzee Benjamin Mkapa asijitokeze...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
JK baada ya kudhani kumleta mzungu wa Canada itakuwa msada kwake kurudisha hadhi yake miongoni mwa Watanzania sasa haya yameibuka .Hebu semeni JK alifikiria nini kumleta huyu mzungu ghafla hivi ...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wabunge Canada wahoji ziara ya Waziri Mkuu wao nchini Tanzania Na Mwandishi Wetu Mwananchi Posted Date::11/28/2007 ZIARA ya Waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper nchini, imeibua mambo mapya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Posted Date::11/28/2007 Kamati ya madini yageuka kama maigizo *Mwingine aandika barua ya kujitoa *Aliyejitoa wa kwanza, wa pili wahudhuria * Iddi Simba ahamaki waandishi kuwako ndani * Bomani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MegaPyne
Na Daniel Mjema, Moshi, Mfanyabiashara wa mabasi yanayofanya safari kati ya Moshi na Kilema, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga risasi dereva wa basi la Flora Coach kwa madai ya ugomvi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Zimbabwe to take mining stakes Mr Mugabe says the population should benefit directly from mining Peter Greste BBC News Zimbabwe's government has published new legislation that would force...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi Hosea si alisema Ph.D yake alifanyia USA? Au aliacha kule na kuja kuanza upya UDSM. Maelezo aliyoyatoa kwenye tuhuma zake huenda yana utata. Jamaa ana Ph.D ya rushwa TZ na bado mambo ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
WanaJF waliojitoa na kutokuwa na imani na serikali ya JK, Hasara nitakuwa wa kwanza kutokana na yanayoendelea katika uongozi wake, na kuwa na washauri wabaya. Nimejitoa kuanzia leo.
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Ingawa taarifa ninazopata zinaonyesha kuwa kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni mjadala mkali na wala sio mgogoro kama magazeti ya Mwizi na mkoloni Rostam Aziz yanavyoripoti nyumbani, bado kuna...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Back
Top Bottom