Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,325
katika hali ya kushangaza, leo hii jumuia ya kipelelezi ya marekani(NIE)imetoa taarifa yake rasmi, na kusema kwamba KWA HIVI SASA IRANI haina mradi wa mabomu ya Nyuklia.
hata hivyo taarifa hiyo imesema kwamba IRani ilikuwa na mpango huo lakini wakaustisha mwaka 2003.
Taarifa hiyo imepelekea mixed signal duniani,huku watu wengine wakihoji credibility ya Uongozi wa George bush kushikilia bango kwamba irani inatengeneza mabomu ya Nyuklia.
wakati huohuo ofisa mmoja wa ngazi za juu katika serikali ya Irani amesema kwamba , irani haijawahi kuwa na mradi huo, haina mradi huo,na haitakuwa na mradi huo kwa sababumabomu ya Nyuklia hayamo katika sera ya ulinzi ya nchi hiyo.
Wakati huo huo leo Raisi bush ameongea na waandishi wa habari na kuelezea kuwa ,maadamu irani ilishawahi kuwa na mpango huo zamani basi jumuia ya kimataifa Haina budi kuendelea kuibana ili isitishe mradi wao wa sasa wa kueinrich uranium. akasema maadamu zamani walishaficha mradi wa mabomu basi wasiaminiwe hata hii sasa.
Wana Jf mnaichukuliaje hii sudden Turn of events?. who is going to win this tuff diplomatic chess game, Iran or US, why?