Wabunge Canada wahoji ziara ya Waziri Mkuu wao nchini Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Canada wahoji ziara ya Waziri Mkuu wao nchini Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Nov 29, 2007.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,506
  Trophy Points: 280
  Wabunge Canada wahoji ziara ya Waziri Mkuu wao nchini Tanzania
  Na Mwandishi Wetu
  Mwananchi

  Posted Date::11/28/2007

   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Bubu
  Inafurahisha sana kuona kuwa hata wenyewe wacanada wanajua kuwa Makampuni yao yanakiuka taratibu, na wabunge wanadiriki hata kusema. Nashangaa kuwa hapa nyumbani hata hakuna mbunge aliyepinga ziara ya Harper.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,506
  Trophy Points: 280
  Tuna bunge ndugu yangu! ni uchwara tu! Bunge gani ambalo linatetea haki ya Watanzania linakaa kimya miaka yote hii wakati details za mikataba hiyo mpaka leo zimefanywa siri! The so called wabunge wamekaa kimya! ni wasanii tu hao wasioitakia mema nchi yetu wameweka mbele maslahi yao na ya matumbo yao.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2007
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  PUBLICATION: GLOBE AND MAIL

  IDN: 073310156

  DATE: 2007.11.27

  PAGE: A23

  BYLINE: ALAN FREEMAN WITH A REPORT FROM GLORIA GALLOWAY IN OTTAWA

  SECTION: International News

  EDITION: Metro

  DATELINE: DAR ES SALAAM, TANZANIA

  WORDS: 931

  WORD COUNT: 858


  FOREIGN AID: HARPER IN AFRICA Controversy over mining overshadows health initiative PM announces $105-million contribution, but Barrick is top concern of Tanzanians

   
 5. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2007
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,611
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Kikwete is pupet, look at his reaction toward Barrick non sense. He claimed that "We are not blaming the mining companies," , who do we need to blame, i'm tired of this guy, honest i'm fed up.
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2007
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Harper pledges more money to Africa, admits Canada's **>foreign aid<** declining (Cda-Tanzania)By Alexander Panetta

  THE CANADIAN PRESS

   
 7. E

  Endaku's JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2007
  Joined: May 25, 2007
  Messages: 322
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Sure kikwete is really boring president ! He is a blabla man ! why is making a fool of us! I wish to shoot him when i get a chance! wish him dead !
   
 8. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2007
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,611
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  I supported JK for the office, but i made a big mistake. This guy is coward, little chicken and yellow-bell. Actual i believe he is sick. I wish upinzani could be strong, so we can see changes.
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2007
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Too harsh.
   
 10. M

  Mr EWA JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2007
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Viongozi wetu wajue kuwa haki na maslahi ya watanzania ni bora kuliko uwekezaji usio na tija yeyote.
  Hapa kwetu mtu akisema chochote kuhusu uwekezaji wa aina yeyote anaonekana ni kama mtu aliyechanganyikiwa,mitizamo hii mibovu kwa viongozi wetu wanatakiwa kubadilisha mitizamo yao na wasifikiri bila wao nchi haitapata viongozi waadilifu,kusema kweli viongozi waadilifu tunao wengi lakini hawapewi nafasi ya kuongoza na hii inatokana na mbinu chafu zinazo ashiria rushwa katika kutafuta uongozi.
   
Loading...